Waweke hapa Wasanii wa Bongo Waliozaliwa / Kuishi Familia za Kishua

Bongo watu sijui huwa wana nini yani mtu akiwa na vijisent tu vya kubadili mboga basi nae anawekwa kundi la matajiri.huyo jux kasoma shule gani ya kishua ambayo watanzania wengi hawaimudu?huko china si alikua anauza nganda au wewe hujui mkuu?
 

Lucci, huyu jamaa aliimbaga wimbo unaitwa Dada kaka akishirikiana na DC wa Temeke
 
Tatizo nyie hamjamuelewa mtoa mada amezungumzia ushua upi,wasanii wengi wametoka kwenye maisha magumu ya kuishi chumba kimoja familia nzima tena hapo wamepanga,wengine wametoka mikoani wamekuja dar hawana pa kulala wanalala stendi,mitaroni,kariakoo shimoni au wakibahatika ndio ile wanaishi maisha ya ghetto chumba kimoja mtu sita yaani kifupi wametaabika sana hadi kufika hapo walipo.Sasa kuna wasanii wachache ambao angalau wazazi wao walikuwa na nafasi ya kuwahudumia kila kitu ambacho ni basic mfano kuwasomesha shule private za hela,milo mitatu kwa siku ya uhakika a.k.a mboga saba yaani kifupi kwenye ukuaji wao hawajakumbana na suluba za maisha HAO NDIO WA KISHUA na mfano ni hao waliotajwa,huwezi linganisha life alilokulia mtu kama linex na jux ni wasanii wawili tofauti katika suala la makuzi na hassling

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Christina Mroni

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…