Waweke hapa Wasanii wa Bongo Waliozaliwa / Kuishi Familia za Kishua

Hapo hao wote sio marehemu langa ndio kwao wa kishua baba ake ni kitengo wizara ya fedha..na mama ni lecturer ifm...nyumbani ya tatu kutoka nyumba ya kikwete ..amekua na ridhiwani na miraji kikwete...mwingine ni jay moe..
 
Siku Moja kwenye mkasi Salama alikua anamhoji Langa...Weee pale room kwake enzi hizo humu wengi mpk Leo wengine hawajafika level za kile chumba cha Langa

Mwingine Sarah Kaisi yule wa Kishua kikweli,
 
Duuh! Ndio mshua wake nini?
Ndio mkuu, washua wa kweli hawanaga showoff

 
Siku Moja kwenye mkasi Salama alikua anamhoji Langa...Weee pale room kwake enzi hizo humu wengi mpk Leo wengine hawajafika level za kile chumba cha Langa

Mwingine Sarah Kaisi yule wa Kishua kikweli,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo wa kishua kweli,
 
Tafsiri ya ushua ina mitazamo tofauti mkuu, kwako afisa ubalozi sio ushua kwa mwingine kupaka blu bendi kwenye mkate ni ushua tosha [emoji23]
Labda tutafute consensus ya maana ya ushua alafu ndio tuendelee na mada
Unasema kweli. Kuna mfanyakazi alikuja home kwangu kwa ajili ya kushughulikia mifugo.

Siku moja akaniambia boss niongezee mshahara kwa sababu wewe ni tajiri sana, unakula vizuri, unalala vizuri,

Alinishangaza sana... kumbe definition ya utajiri inategemeana na mfukoni mwako kuna kiasi gani cha shida au kiwango cha ufikiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…