Sasa Jack na huyo kimeo kwao kuna nini jamani?[emoji848]Yaani Bongo Baba akifanya kazi ubalozini unakua wa kishua, hata jack bila mmachame yule ni wa kawaida sana,
AtambeeDuuh! Ndio mshua wake nini?
Nope baba mkubwaYaap!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]Internation?? Wazazi wako walipoteza ada bure
Dingi yake mkubwa sio baba mzaziAnajiita nahreel mkono
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jf nyokooozWasanii wa kisua wa kwanza best naso baba ake anashamba Na Ana nyumba ya kupangisha,dudubaya baba ake alikua mtu anayemiliki tv kitaani pale nyegezi afu kuna sister p yeye shemeji yake ni Askari police pale central
Exactly [emoji122][emoji122][emoji122]Anamwita Mkono mbunge baba mkubwa
Okay!Nope baba mkubwa
Sijui kuhusu baba yake ila marehemu mama yake alikuwa vizuri sana, walikuwa wanakaa regent estate kabla serikali haijahamia dodoma[emoji122][emoji122][emoji122]
Langa kwao mambo safi hadi leo
Hiyo comment yake sijui nani kaifuta naitafuta siion[emoji1][emoji1][emoji1]Jicho lake la tatu lipi mkuu lile la kiroho au kishetwani linalokonyeza mda wote
Humjui GWAMAKA wewe wala kakake Good luck hao jamaa ni familia za kishua toka kitamboKwa GK nakataa mkuu, kukaa upanga nyumba za nhc ndio ushua? Maza ake alikuwa ticha cbe na braza yupo us ndio ushua?
Itakua imefutwa kupoteza ushahidi [emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo comment yake sijui nani kaifuta naitafuta siion[emoji1][emoji1][emoji1]
Acha uongo we jiziBanana Zolo
Pamoja na kujikita kwenye muziki ila wapo vzuri kiuchumi muziki umekuwa kama sehemu ya kujiburudisha na famiia nzima wanaimba yaani wanatalent
Ndiyo ushua?Kwa hiyo jux hajasoma nje ya nchi ?
Kwa Maisha ya enzi zile ilikuwa Ushua mkubwa Mkuu...Kwa GK nakataa mkuu, kukaa upanga nyumba za nhc ndio ushua? Maza ake alikuwa ticha cbe na braza yupo us ndio ushua?
hapa riziki kweli wanazengo? ukaaji gani huu?Jux
Shule aliyosoma sio za serikali ni private, na chuo kasomea nje ya nchi. Pesa ya studio + video ya wimbo wake wa kumtambulisha kweye game alilipiwa na mzazi wake.
View attachment 2048108