Waweke hapa Wasanii wa Bongo Waliozaliwa / Kuishi Familia za Kishua

Waweke hapa Wasanii wa Bongo Waliozaliwa / Kuishi Familia za Kishua

Tutembee tuone, Kuna watu wanapesa, kwenye mashule ya international Kuna matamasha ya watoto siku za Christmas au kwenye swimming gala,tunaenda tunaona we acha tu, hayo wanaosemwa wa kishua mi sijaona jeur ya kwao, tunaona wajukuu wa kina shabiby, Omar awadhi, dewij, wajukuu wa Ally said, wakina balaboo, wengine wazaz Wana mihotel, we unabakia kuomba mungu nione siku moja.
 
Kwani kusoma shule ya private ndo kwenu matawi, zamani shule za serikali zilikuwa chache shule mzima wanafaulu watu watatu wakizidi sita, wengine private, mbona watu wengi tulisoma private, kigurunyembe sekondary, forest Hill, kusoma privare ni wakisua, zamani kawaida tu.
Hata huyo jaymore wanaemuita wa kishua kasoma shule ya kawaida tu iramba
 
Nimeshangaa namimi yani kukulia marekani tu ndio mshua?
Angesema familia yake ina ushua gani tungemuelewa.

Najua R.i.p Langa na G.k ndio watoto wa kishua
Kwa hiyo unaweza kumfananisha na yule aliyelelewa sitimbi kwenye nyumba ya tembe na kusoma shule ya kubeba vidumu na fagio?

Mbona nawe hujasema hao uliowataja wana ushua gani?
 
Kwa hiyo unaweza kumfananisha na yule aliyelelewa sitimbi kwenye nyumba ya tembe na kusoma shule ya kubeba vidumu na fagio?

Mbona nawe hujasema hao uliowataja wana ushua gani?
Dogo punguza speed na ukae kwa kutulia.
Elezea Vanesa ana ushua gani hao wengine nitakueleza ukitaka.
 
Basi uliza hapa mie nakujibu, sijawahi kuogopa au kukwepa swali. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kwanini comment zangu zote humu huwa zinakuchekesha, hata ninapotoa salamu za rambi rambi au pole za misiba we huwa unaona nimeongea utani unacheka, au unani crashia🙃
 
kwanini comment zangu zote humu huwa zinakuchekesha, hata ninapotoa salamu za rambi rambi au pole za misiba we huwa unaona nimeongea utani unacheka, au unani crashia[emoji854]
Ooooooh sorry sana kwa hilo km huwa nakukwaza, naomba nisamehe bureeh. But sijuagi kuwa serious au kukasirika, mda wote nipo full happy. Ila ahsante kwa kunirekebisha. [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom