Wawili niliowabakisha kama marafiki nao nimewafuta!

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
Ukiachana na wale wa mbali kidogo kama washikaji ambao huibuka mara kadhaa pale tu wanapokuwa na shida, nilibakisha watu wawili ambao niliamini ni wa kweli ila sasa nimefikia hatua ya kuwafuta pia.

1. Huyu wa kwanza yeye huwa karibu sana pale anapokuwa na matatizo ya kifedha, atakuwa na mawasiliano ya mara kwa mara hata kuja nyumbani na vitu kama hivyo, uchumi ukikaa sawa anapotea na inafika wakati hata ukipiga simu mchana atakuja kutafuta usiku kabisa au atume tu text ya "Vipi kaka?" hapo imeisha.

2. Huyu wa pili yeye ana matatizo kwenye ndoa yake, huwa anavurugikiwa sana anapokuwa na changamoto za kimahusiano, basi huwa anakupigia simu hata mara 10 kwa siku mjadili na umsaidie mawazo jinsi ya kutatua matatizo yake. Mimi humpa full support lakini yeye nikijaribu kumueleza yangu kwanza anayadogolesha na hana muda wa kuyasikiliza, anakejeli pia.

Sasa nimeona msela wangu atakuwa mke wangu tu. Jambo ambalo sitaweza kuongea nalo nitabaki nalo mimi mwenyewe. Kwasasa mimi sina rafiki zaidi ya mke wangu.
 
Huwa nakereka sana na tabia ya unamtumia mtu meseji asubuhi, anakujibu usiku. Eti ubize?!. Kawaida ya binadamu wakijua wewe ni mtu wa kuanza kuwapandia hewani, wanakuona unajipendekeza, hivyo wanareact wanavyotaka, mara wakujibu neno moja "P", mara wakate simu.
 
Pole! Jitahidi kuishi nao kwa akili sana namaanisha sana.

Kwani kuona marafiki ni tatizo ni kosa lako la kutojua maana ya urafiki. Wengi hutaka wanachowafanyia marafiki nao wawafanyie, jambo hilo hupelekea magomvi makubwa na ni kitu ambacho hakiwezekani.

Kumbuka urafiki huunganishwa na jambo moja, mfano, urafiki wenu unaweza kuunganishwa na kufanya kazi au tabia inayofanana kama biashara, kilimo, wezi, kuvuta bangi n.k.

Igawa mambo mengine havitafanana kabisa, Mfano
1. Wewe unapenda kupiga simu lakini rafiki yako yeye anapenda kutuma sms.
2. Wewe usipopigiwa simu unaumia lakini mwingine umpigie usimpigie wala siyo tatizo.
................................
Kwa kifupi usiwekeze muda wako mwingi kwa marafiki.
 
Ukiachana na wale wa mbali kidogo kama washikaji ambao huibuka mara kadhaa pale tu wanapokua na shida, nilibakisha watu wawili ambao niliamini ni wa kweli ila sasa nimefikia hatua ya kuwafuta pia.

1. Huyu wa kwanza yeye huwa karibu sana pale anapokuwa na matatizo ya kifedha, atakuwa na mawasiliano ya mara kwa mara hata kuja nyumbani na vitu kama hivyo, uchumi ukikaa sawa anapotea na inafika wakati hata ukipiga simu mchana atakuja kutafuta usiku kabisa au atume tu text ya "Vipi kaka?" hapo imeisha.

2. Huyu wa pili yeye anamatatizo kwenye ndoa yake, huwa anavurugikiwa sana anapokua na changamoto za kimahusiano, basi huwa anakupigia simu hata mara 10 kwa siku mjadili na umsaidie mawazo jinsi ya kutatua matatizo yake. Mimi humpa full support lakini yeye nikijaribu kumueleza yangu kwanza anayadogolesha na hana muda wa kuyasikiliza, anakejeli pia.

Sasa nimeona msela wangu atakua mke wangu tu. jambo ambalo sitaweza kuongea nalo nitabaki nalo mimi mwenyewe. Kwasasa mimi sina rafiki zaidi ya mke wangu.
Sie wengine tulishaachaga huo upuuzi wa urafiki.

Rafiki yangu ni mwanangu tu, basi.
 
Njoo niwe rafiki yako mm!! maana namm nishashindikana sinaga rafiki[emoji3][emoji3]

Personality yangu ngumu sana kumatch na marafiki
 
Ukiachana na wale wa mbali kidogo kama washikaji ambao huibuka mara kadhaa pale tu wanapokuwa na shida, nilibakisha watu wawili ambao niliamini ni wa kweli ila sasa nimefikia hatua ya kuwafuta pia.

1. Huyu wa kwanza yeye huwa karibu sana pale anapokuwa na matatizo ya kifedha, atakuwa na mawasiliano ya mara kwa mara hata kuja nyumbani na vitu kama hivyo, uchumi ukikaa sawa anapotea na inafika wakati hata ukipiga simu mchana atakuja kutafuta usiku kabisa au atume tu text ya "Vipi kaka?" hapo imeisha.

2. Huyu wa pili yeye ana matatizo kwenye ndoa yake, huwa anavurugikiwa sana anapokuwa na changamoto za kimahusiano, basi huwa anakupigia simu hata mara 10 kwa siku mjadili na umsaidie mawazo jinsi ya kutatua matatizo yake. Mimi humpa full support lakini yeye nikijaribu kumueleza yangu kwanza anayadogolesha na hana muda wa kuyasikiliza, anakejeli pia.

Sasa nimeona msela wangu atakuwa mke wangu tu. Jambo ambalo sitaweza kuongea nalo nitabaki nalo mimi mwenyewe. Kwasasa mimi sina rafiki zaidi ya mke wangu.
Hata mkeo usimwambie

Trust no one suspect everyone

WASIWASI ndio AKILI

Be suspicious Everytime it's one of measures of intelligence
 
Mimi nina marafiki 3 na tunaweza tusiwasiliane hata miezi 6 na hatuwaziani tukiwa na shida tunatafutana tunaweka ushirikiano tunatatua zaidi ni kuangalia status,ku comment kwenye social network imeisha

Kwasababu mi huwa sina muda wa kumpigia mtu na kumsalimia nikikupigia simu tunaongea mishemishe sio salamu na ndugu na wazazi.wangu walishanizoea sipendi kuongea kwnye simu
 
Maisha ni watu utafurahi ukiwa na watu na tunaishi na watu angalia tu aina ya marafiki unaoendana nao, kuna raha kua na marafiki yani hasa wale wa zamani mkijikumbushia ya nyuma basi mnacheeeka raha tele pia kuwepo na mipaka kuna marafiki yani hutamani hata mpotezane.
 
Karibu kwenye utu uzima. Ukifanikiwa kupata mke/mume/partner bora huyo ndiye atakuwa rafiki yako.

If you are lucky enough, your childhood friends can be your forever friends.

Otherwise mtoto wako anaweza kuwa rafiki yako japo kuna vitu hawezi kukuelewa na pia akikua atachagua marafiki zake wengine na hatokuwa rafiki yako.

Mwisho jifunze kuwa mwenyewe kihisia (pale unapotafuta kuziba gape la urafiki). Zaidi sana kuwa na washkaji ambao hawahusiki kukukamilisha kihisia bali kijamii.
 
Back
Top Bottom