wanatoka wayahudi kutoka europe na america wanakiri na kulalamika kwamba wao walivyosimuliwa land was empty lakini walivyofatilia wanasema taarifa zile zilikua za uongo,Kabisa mkuu, teknolojia imekuja fungua mbongo za watu , kila kitu kwa sasa kipo wazi tu
Waislamu kupitia Quran wameamrishwa kuwalaani na kuwachukia wayahudi. Hapo hawezi kukuelewa sababu hiyo tayari ni amri wamepewaHiyo ni mitazamo yao binafsi wala shida kwakua hata ukiwasikiliza wapelestina kuhusu wayahudi nao wana mitazamo yao. Ni kama kama wewe mitazamo yako juu ya kuoa kaskazini ilivyo au mitazamo ya ccm kuhusu chadema and vice versa. Hiki ni kitu kila mtu atabaki kumshangaa na kutomwelewa mwenzake forever
Hao ashkenaz waliwakuta mizrahi pale toka kitambo , kuna baadhi ya ma rabi wa mizrahi wanapinga sana tamaduni zao kuharibiwa na hawa ashkenazwanatoka wayahudi kutoka europe na america wanakiri na kulalamika kwamba wao walivyosimuliwa land was empty lakini walivyofatilia wanasema taarifa zile zilikua za uongo,
watu ambao bado wanakaza fuvu wazito sana kuelewa
tukio lile kubwa nilitarajia ungelikumbuka,Unaniuliza kitu ambacho wewe ndio ulitakiwa ukiseme.
Kuhusu hayo matukio basi tuseme hata sisi blacks Dunia inaanza kututenga maana watu influential kama Vini Jr wanakumbana na ubaguzi maana yake Dunia imeanza kututenga blacks?
Hao jamaa walikuwa disorganize , Rotschild ndiye ameshawishi UK kwa sababu ana historia ya kuwasaidia UK kununua baadhi ya maeneo ..Hitler alikuwa anwashutumu hao jama kwamba walisababisha mdodoro wa kicuhumi ila haileweki kwa namna gani .Rotschild ile familia ina mchango mkubwa lakini pia hawa jamaa wapo vizuri kwenye nyanja mbali mbali mpaka wanaanza kupelekwa kwenye Concentration Camp walikua wameshika sana uchumi wa Ulaya Mashariki. Kwa nature yao ni watu aggressive sana ndo maana walipressurise sana wapate taifa lao, kuanzisha taifa siyo jambo dogo mfano mrahisi leo angalia Wakurdi wapo zaidi ya 60M lakini kupata taifa imekua ngumu.
Matukio ya aina hiyo yapo mengi, hata Marekani yamewahi kutokea kuhusu wasomali. Unataka kusema Dunia imeanza kuwatenga wasomali??tukio lile kubwa nilitarajia ungelikumbuka,
kuhusu watu weusi kutengwa hii ni mada nyingine na ni rahisi sana:
Mtu mweusi hata yeye mwenyewe tu deep down hajikubali kua mweusi hivi, na kuthibitisha hilo ni ngumu mtu mweusi kumbagua mtu mweupe, maana cream za kujichubia wala zisingekua na soko, au hata kwenye masherehe watu wasingekua weupe kupita kiasi , kama unaelewa hii dhana
ngoja niangalie kama ntaweza kupata clip fasta fasta kwenye bookmarks ukaeleweshe na wenzako
Uislamu na uongo Huwa ni vitu vinaenda sambamba??Wyahudi mpaka kesho hwapo kwnye mambo ya kidunia , waishi maisha ya miaka ya nyuma japo wako nyuma ya teknolojia nyingi tu dunia ..Kwanza , wanaongoza kwa kutumia simu za button hsa zile kujikunja zenye dole
Matukio ya aina hiyo yapo mengi, hata Marekani yamewahi kutokea kuhusu wasomali. Unataka kusema Dunia imeanza kuwatenga wasomali??
Kuhusu blacks kujikubali au kutojikubali haina uhusiano na mfano wangu kwa maana matukio ya blacks kutengwa hayajaanza Jana Wala Leo huko Europe na marekani, ni tokea miaka na Miaka.
Au unataka kusema hata hiyo miaka ya enzi hizo za ukoloni blacks pia walikua hawajikubali walikua wanatunia cream?
Hili sakata maana yake ni Dunia imeanza kuwatenga wayahudi?
View: https://www.youtube.com/shorts/8Q6tL5Qt-co
fatilia hilo sakata utakuja kunielewa, maana bila kuelewa itakua kazi bure
naonaga sana clip zao haoHao ashkenaz waliwakuta mizrahi pale toka kitambo , kuna baadhi ya ma rabi wa mizrahi wanapinga sana tamaduni zao kuharibiwa na hawa ashkenaz
ungeelewa hiyo clip, sakata lilianza wapi , huyo mayor akasema nini na kisha baadae kufuta maneno yake, ndo ungeelewa muktadha wa mjadalaHili sakata maana yake ni Dunia imeanza kuwatenga wayahudi?
Masakata kama haya nimekueleza yapo Kwa jamii zote, wasomali, waarabu, waafrica n.k hapo ndio nikakuuliza je wasomali, waarabh, waafrika nao wameanza kutengwa?
Soma kijana acha kudanganywa , soma nilichoandoka kwamba hapo Tel AVIV na Israel ndipo wanapojimwaga huku kwingine kuna video inaonesha wako New york , wanatumia simu za button. Wanapokuwa nchi za watu , wanatumia sana simu za Buttons na baadhi yao katika miji ambayo wako wachache hata wanapoishi hawajulikani .Uislamu na uongo Huwa ni vitu vinaenda sambamba??
Israel ya wapi hiyo ambayo watu wake wanatumia simu za dole gomba? Ikiwa Israel ni nchi ya pili duniani kwa watu wake asilimia kutumia smartphone?
Pitia hii kupata japo picha kidogo
View attachment 3675649
Huwezi kukiona maana umemezeshwa Ujinga na upumbavu na hao waarabu wako!!Hakuna cha maana unacho ongea
Lakini, kwanini wahayahudi wameyapitia hayo waliyoyapitia. Maana wameteswa na kuuliwa hadi na wazungu kwa nyakati tofauti tofauti?Wayahudi wameteseka sana , kuna stori yao nilisoma mpaka nikawaonea huruma ..Kiufupi , hao jamaa wana insecurity , wanaishi kwa hofu sana . Wanayofanya ni matokeo ya waliyofanyiwa huko nyuma.
Kwanza kwa nini wewe hujiulizi kwanza kwa nino waarabu waliwaua mababu zako na kuwatesa kisha wengine kuwauza utumwani? Au kwa sababu ak8li zako huzitumii vizuri?Lakini, kwanini wahayahudi wameyapitia hayo waliyoyapitia. Maana wameteswa na kuuliwa hadi na wazungu kwa nyakati tofauti tofauti?
Let me engage you katika upumbavu wako huo huo.Kwanza kwa nini wewe hujiulizi kwanza kwa nino waarabu waliwaua mababu zako na kuwatesa kisha wengine kuwauza utumwani? Au kwa sababu ak8li zako huzitumii vizuri?
Kwa hiyo umeamua kutoa UHARO huu kuwalinda waarabu? Au wewe kuitwa Mwarabu-koko ndiyo imekuwa sababu ya wewe kujitoa ufahamu na kutuletea mifano ya kipumbavu kama hiyo!!?Let me engage you katika upumbavu wako huo huo.
Unajua kuwa waafrika walifanyana watumwa wao kwa wao? Unajua kuwa wajapan waliwafanya watumwa watu wengi wa Asia kwa miaka mingi? Unajua kuwa watu wa ulaya waliua wenyeji wa amerika na kukaribia kuwapoteza kabisa? Unajua kuwa wazungu waliwakaribia kabisa kuwafuta kabisa katika uso wa dunia wa-aboriginal? So, kama unadhani kuwa historia unaitazama katika uyahudi na uarabu tu, wewe ni mpumbavu nambari moja katika huu ulimwengu. Hizo habari za kijinga za kuwa brainwashed kwa uyahudi na uarabu kawapelekee wapumbavu wenzio.
Nimeuliza swali hilo, kuhusu historia ya uyahudi, wewe unaleta habari za waarabu uko sawa sawa kweli kichwani wewe? Wapi nimeandika au kutetea ushenzi wa waarabu dhidi ya mtu mweusi? Acha ujuha wewe jamaa
Kwa hiyo umemezeshwa Chuki dhidi ya Wazungu? Huna lolote wewe!!Unajua kuwa wazungu waliwakaribia kabisa kuwafuta kabisa katika uso wa dunia wa-aboriginal? So, kama unadhani kuwa historia unaitazama katika uyahudi na uarabu tu, wewe ni mpumbavu nambari moja katika huu ulimwengu. Hizo habari za kijinga za kuwa brainwashed kwa uyahudi na uarabu kawapelekee wapumbavu wenzio.
Ndio maana nimekuambia wewe ni mpumbavu.Kwa hiyo umeamua kutoa UHARO huu kuwalinda waarabu? Au wewe kuitwa Mwarabu-koko ndiyo imekuwa sababu ya wewe kujitoa ufahamu na kutuletea mifano ya kipumbavu kama hiyo!!?
Wewe huna uwezo wa ku engage na mimi kwa kuwa huna lolote unalolijua zaidi ya kulishwa Matango-Pori na Waarabu wajinga wenzako!!
Ukitaka kujua wayahudi wanafikiri nini kuhusu palestina , mfuatilie mtengeneza maudhui maarufu huko tiktok Hamzah saadah, kijana wa kipalestina anaye anaishi Houston Texas US , anaefanya mahojiano ya live tiktok na jamii ya wayahudi.
Hawa jamaa wa kiyahudi mpaka watoto wadogo kabisa wana akili chafu na mbovu, inashangaza sana wanao amini hilo eti ni taifa teule.
Hawa jamaa kiundani kabisa hawajulikani ila mitandao ya kijamii imekuja waumbua , ni tofauti kabisa na watu hasa jamii za Africa zinavyowafikiri walivyo
Hamzah saadah 👇View attachment 3675507