Wazanzibar wanaendelea kudai mamlaka kamili ya nchi yao

Kwanin walisema n km koti likikubana livue, au umesahau iyo kauli?
 
Muulize kabudi n bwana zako watakwambia
 
Unajitekenya huku unacheka mwenyewe
 
Weye Chiwa mjinga sana Muungano una faida na nyie Watwana wa kitanganyika na sio Wazanzibari na sijui kwa mmekaa kama Wasenge munatutaka kwa nguvu tuwapige nao tunawambia hatutakii bado muna ngangana tu ,ikiwa visiwa vitazama ,vitaliwa na maji weye Tanganyika hututaki msaada wako ss tunataka utu wetu na idintity yetu.Vunja mara kwendeniiii.
 
Tutakuwa Kama Hamas na hao Mabwana zako daa dekiii
 
Tayari mikoa yote iliyondani ya 10km wapo pamoja na Zanzibar,wameshajua kuwa si wenzenu hata mnaposhika madaraka mnaitenga na sasa mnachimba kuiuwa Darussalaam,Mtwara Tanga Pwani zote hazipumuwi.
Hizi 10km kama hamkuzitema mtazinya.(Samahanini kwa lugha)
 
wapewe hata leo hii, ila baada ya hapo wapewe masaa 48 wale wa dsm, kigamboni na nchi nzima bara wafungashe virago wasepe hatutataka kuwaona sura zao kabisa.
Wamejaaa sana Tandika,Ilala na Mbagala
 
Ujinga mzigo dada. Huelewi hata unachokizungumza
 
Haya ndio maneno ya kiume ,sio maneno ya kishogaa cjui visiwa vitazama .
 
Sijjakwelewa kabisa hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…