mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 7,894
- 22,679
Hivi nyie akina mama na wale wanawake wenye watoto wachanga, kwanini mnapost vichanga vyenu mtandaoni hususani kwenye WhatsApp status? Mnajisikiaje mnapost kichanga cha siku moja status?
Kwani nyie ndio wa kwanza kuzaa? Au mnataka dunia ijue kwamba umezaa ndio maana mnawapost hao wachanga?
Kiukweli hamuwatendei haki watoto na mnakiuka haki zao za privacy.. mnawa expose watoto wenu kwenye dunia ya Pedophiles ambao wapo kila mahali.. na ndio hapo ukatili wa mtandaoni ikiwemo bullying dhidi ya watoto ndio inaanza..
Dear wamamaz na Wababaz.. acheni hizi harakati za kuwapost watoto wenu wachanga mtandaoni .. in long-run ina athari mbaya sana kisaikolojia.. mnafeli wapi?😓😕