Wazazi, acheni kuwapost watoto wenu wachanga mtandaoni

Wazazi, acheni kuwapost watoto wenu wachanga mtandaoni

Huwa inanikata stimu hii kitu mimi. Mbona maza zetu kitambo hawakuwa na hizi harakati za kishamba kuji expose?
Sasa 19 kweusi kulikua na whatsap status? Wao walichokua wanaweza ni kuwapiga picha na kuziweka sebleni kila mgeni akiingia aone 😃
Ni njia moja wapo ya mtu ku express furaha yake, ww kama inakuuzi mblock kwanini ujikarahishe nafsi?
 
Mitandao na kumiliki simu kunawaponza.
Wote karibia wanauza huko OF.
Unamkuta bibi wanauza huko
 
Yaani katoto kawe kazuri halafu tukatazwe kupost hii sio Sawa..kila mtu awe proud na alichokuwa nacho iwe ndinga au house au mpenzi au toto
Ni kweli mkuu na kila mtu ana namna yake ya kufurahia jambo
 
Rihanna anaishi ulaya?
Ronaldo pia alipost toto lake 2010, akaja kupost tena mapacha wake.

We unatulisha matangopori kwenye dunia ya technology. Alaa

Hizo story zipeleke hapa 👇, sio humu jf sawa.
1749658907229.png
 
WENGI NI SINGO MOTHER
Wengine wanaanza kupost mimba, mmoja niliona amepost tumbo kubwa vimapaja vyembamba.

Hawana akili Timamu
Ety single Maza hata aibu huna

Wanaopost mimba na waume zao ni single Maza ??

Wapo wanaume kibao wanaopost watoto wa siku na wake zao wakiwa wajawazito nao ni single Maza??

Upuuzi mtupu

cc Poor Brain
 
Ni kweli mkuu na kila mtu ana namna yake ya kufurahia jambo
Zamani ziliwekwa kwenye album mpk uende nyumbani ndo unaziona hivi sasa zinakufika ulipo Bila kwenda kwa mzazi.Hiyo ndo teknlojia.
 
Hahaha!

Mkuu tupo karne ya 21 Dunia kama kijiji sijui kama unaelewa maana ya hiyo statement.

Kupost mtoto sio tatizo. Tatizo anapostiwa katika hali gani. Hapo ndio hoja yako iwe.

Kama hakuathiri utu na kuhatarisha usalama wa mtoto hakuna tatizo.

Lakini pia Mtu kama hajalazimishwa anafanya kwa furaha yake binafsi. Sio tatizo.
 
Kazi nimekuachia wewe mkuu endeleaa kupost mimba tumbo kubwa , na vichanga.
Kuna kitu hujaelewa uliwazungumzia single Maza ndo wanaopost nakuuliza walio kwenye ndoa hawapost ??

Hilo ndo swali langu,,

Mimi sio mtu wa kupost status mzee hata wenye namba yangu humu wanajua,,

Afu nibebe vipi mimba tuheshimiane bruh
 
Back
Top Bottom