Wazazi, acheni kuwapost watoto wenu wachanga mtandaoni

Wazazi, acheni kuwapost watoto wenu wachanga mtandaoni

Hivi nyie akina mama na wale wanawake wenye watoto wachanga, kwanini mnapost vichanga vyenu mtandaoni hususani kwenye WhatsApp status? Mnajisikiaje mnapost kichanga cha siku moja status?

Kwani nyie ndio wa kwanza kuzaa? Au mnataka dunia ijue kwamba umezaa ndio maana mnawapost hao wachanga?

Kiukweli hamuwatendei haki watoto na mnakiuka haki zao za privacy.. mnawa expose watoto wenu kwenye dunia ya Pedophiles ambao wapo kila mahali.. na ndio hapo ukatili wa mtandaoni ikiwemo bullying dhidi ya watoto ndio inaanza..

Dear wamamaz na Wababaz.. acheni hizi harakati za kuwapost watoto wenu wachanga mtandaoni .. in long-run ina athari mbaya sana kisaikolojia.. mnafeli wapi?😓😕
Akili zako mbovu kwa kifupi ni anithi wa akili
 
Mkuu uko sahihi kabisa naunga mkono hoja kabisaa!
Lakini mkuu mbona unateseka na mambo ya watu kwani umewaekea bando wewe??!
 
Kila mtu aruhusiwe kuwa proud na alichocho..nakataa kachanga cha siku moja ila at least hata baada ya mwezi hivi safi ruksa kupost..
 
Ndiyo aina ya majitu kama Mtu kapatwa na ajali yuko hoi bin taabani ila lijitu linaiba pesa mfukoni kwanza kisha linatuma video mitandaoni badala ya kutoa msaada kwa muhanga., kizazi cha hovyo sana hiki.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Back
Top Bottom