Wazazi, acheni kuwapost watoto wenu wachanga mtandaoni

Huwa sijibizani na mademu.
Demu anazaa fresh, anakubalika

Tangu lini we *****, mnuka haja ukakubalika,, acha kuliwa nyuma qmaniner unajiabisha

Huwa sina energy ya kupoteza kujibizana na machoko papai,

Hangaika na mashoga wenzio, mbwa Koko mnuka haja wewe, mchafu mpk tumboni

Case closed.
 
Hahaha!

Mkuu tupo karne ya 21 Dunia kama kijiji sijui kama unaelewa maana ya hiyo statement.

Kupost mtoto sio tatizo. Tatizo anapostiwa katika hali gani. Hapo ndio hoja yako iwe.

Kama hakuathiri utu na kuhatarisha usalama wa mtoto hakuna tatizo.

Lakini pia Mtu kama hajalazimishwa anafanya kwa furaha yake binafsi. Sio tatizo.
Usalama wa mtoto unahatarishwaje Kwa kupost.Em shusha Uzi hapa mzee wa madesa watu tupate shule.
 
Hawawezi kukuelewa ✍️
Hivi nyie akina mama na wale wanawake wenye watoto wachanga, kwanini mnapost vichanga vyenu mtandaoni hususani kwenye WhatsApp status? Mnajisikiaje mnapost kichanga cha siku moja status?

Kwani nyie ndio wa kwanza kuzaa? Au mnataka dunia ijue kwamba umezaa ndio maana mnawapost hao wachanga?

Kiukweli hamuwatendei haki watoto na mnakiuka haki zao za privacy.. mnawa expose watoto wenu kwenye dunia ya Pedophiles ambao wapo kila mahali.. na ndio hapo ukatili wa mtandaoni ikiwemo bullying dhidi ya watoto ndio inaanza..

Dear wamamaz na Wababaz.. acheni hizi harakati za kuwapost watoto wenu wachanga mtandaoni .. in long-run ina athari mbaya sana kisaikolojia.. mnafeli wapi?😓😕
 
Hawaelewi acha waendelee mpk waoate wanachokitafuta
Kuiga iga tu vitu visivyo na maana
 
Mara nyingi unakuta ndo mara ya kwanza kuzaa hvy wana ule ushamba wa kujiona wamezaa dunia, ila mtoto wa pili na kuendelea n mara chache mno.

Ila kuna privacy za mtu akipost Hua nashangaa sana aisee, juzi kati nakutana na mwanamke amejipost ametoka kujifungua 🗑️mijitu mishamba sana.

Hivi nyie akina mama na wale wanawake wenye watoto wachanga, kwanini mnapost vichanga vyenu mtandaoni hususani kwenye WhatsApp status? Mnajisikiaje mnapost kichanga cha siku moja status?

Kwani nyie ndio wa kwanza kuzaa? Au mnataka dunia ijue kwamba umezaa ndio maana mnawapost hao wachanga?

Kiukweli hamuwatendei haki watoto na mnakiuka haki zao za privacy.. mnawa expose watoto wenu kwenye dunia ya Pedophiles ambao wapo kila mahali.. na ndio hapo ukatili wa mtandaoni ikiwemo bullying dhidi ya watoto ndio inaanza..

Dear wamamaz na Wababaz.. acheni hizi harakati za kuwapost watoto wenu wachanga mtandaoni .. in long-run ina athari mbaya sana kisaikolojia.. mnafeli wapi?😓😕
Ni ulimbukeni tu
 
Wewe ni fala
Nchi za Ulaya jaribu huo ungese uone utakachokipata ni kwa vile unakaa matakoni mwa dunia
Unamaanisha ulaya hawaposti watoto wao wachanga kwenye social medias?? kwa sababu kama umemaanisha hivyo umedanganya.
 
Lakini kuna swali fikirishi hapa!
Wewe usiyependa status je huwa unazitizama za nini kama huzipendelei?! Waache watu na uhuru wao wa kufanya kitu kinachompa furaha na amani hata kama wewe kwako unaona hakina faida yoyote!.
 
Hivi nyie akina mama na wale wanawake wenye watoto wachanga, kwanini mnapost vichanga vyenu mtandaoni hususani kwenye WhatsApp status? Mnajisikiaje mnapost kichanga cha siku moja status?

Kwani nyie ndio wa kwanza kuzaa? Au mnataka dunia ijue kwamba umezaa ndio maana mnawapost hao wachanga?

Kiukweli hamuwatendei haki watoto na mnakiuka haki zao za privacy.. mnawa expose watoto wenu kwenye dunia ya Pedophiles ambao wapo kila mahali.. na ndio hapo ukatili wa mtandaoni ikiwemo bullying dhidi ya watoto ndio inaanza..

Dear wamamaz na Wababaz.. acheni hizi harakati za kuwapost watoto wenu wachanga mtandaoni .. in long-run ina athari mbaya sana kisaikolojia.. mnafeli wapi?😓😕

Usiwapangie watu maisha wanayoamua kuishi, ni maamuzi yao, kama wewe haupost ni Matatizo yako binafsi Kabisa.
 
Huwa inanikata stimu hii kitu mimi. Mbona maza zetu kitambo hawakuwa na hizi harakati za kishamba kuji expose?
wenyewe walkua wanatupga zile za karatasi, wanawake kwa album kisha kila mgeni akija walikua wanampa aone,zote ni show off vile tu nyakati na digitali tofauti
 
Back
Top Bottom