Sasa 19 kweusi kulikua na whatsap status? Wao walichokua wanaweza ni kuwapiga picha na kuziweka sebleni kila mgeni akiingia aone 😃Huwa inanikata stimu hii kitu mimi. Mbona maza zetu kitambo hawakuwa na hizi harakati za kishamba kuji expose?
Huwa inanikata stimu hii kitu mimi. Mbona maza zetu kitambo hawakuwa na hizi harakati za kishamba kuji expose?
Ni kweli mkuu na kila mtu ana namna yake ya kufurahia jamboYaani katoto kawe kazuri halafu tukatazwe kupost hii sio Sawa..kila mtu awe proud na alichokuwa nacho iwe ndinga au house au mpenzi au toto
Sawa Rihanna sio mtu wa ulaya.Rihanna anaishi ulaya?
Ronaldo pia alipost toto lake 2010, akaja kupost tena mapacha wake.Rihanna anaishi ulaya?
Ety single Maza hata aibu hunaWENGI NI SINGO MOTHER
Wengine wanaanza kupost mimba, mmoja niliona amepost tumbo kubwa vimapaja vyembamba.
Hawana akili Timamu
We kindinga leta ushahidi hapa hapa kwenye kahawa sura mbovu weweRonaldo pia alipost toto lake 2010, akaja kupost tena mapacha wake.
We unatulisha matangopori kwenye dunia ya technology. Alaa
Hizo story zipeleke hapa 👇, sio humu jf sawa.View attachment 3438137
Ushahidi wa hao mabwenyenye wa London haujakutosha??We kindinga leta ushahidi hapa hapa kwenye kahawa sura mbovu wewe
Zamani ziliwekwa kwenye album mpk uende nyumbani ndo unaziona hivi sasa zinakufika ulipo Bila kwenda kwa mzazi.Hiyo ndo teknlojia.Ni kweli mkuu na kila mtu ana namna yake ya kufurahia jambo
Msamehe bureFala wewe na ukoo wako kmmako 🖕
Hasira za nini? Hapa ni pahala pa kujadiliana tu. Joanah sameheWe msenge nina wasiwasi ni mwanaume tena shoga wewe na id za kike kafilimbwe ulembe huko
Ety single Maza hata aibu huna
Wanaopost mimba na waume zao ni single Maza ??
Wapo wanaume kibao wanaopost watoto wa siku na wake zao wakiwa wajawazito nao ni single Maza??
Upuuzi mtupu
cc Poor Brain
Ikiwa nina tumbo la uzazi nitabeba hiyo mimba!!!Wewe endelea na ujinga wako wa kurithi mkuu na wewe utakuwa single mother soon.
Ikiwa nina tumbo la uzazi nitabeba hiyo mimba!!!
Ujinga wako uliojifunza umekufunza nn ?
Kuna kitu hujaelewa uliwazungumzia single Maza ndo wanaopost nakuuliza walio kwenye ndoa hawapost ??Kazi nimekuachia wewe mkuu endeleaa kupost mimba tumbo kubwa , na vichanga.