dah hii mada inamgusa kabisa dingi yangu
Acha uhuni amesema ukitaka kuoa unaweza kuondoka......!!!Urithi ni hadi wazazi wafariki, unashauri wajinga wenzio waendelee kuishi kwao huku wakisubiri hilo….. pumbavu.!
Kila mtoto amjengee ya kwake. Wewe ndo huelewi. Mzazi kurithisha wanae urithi ni jukumu la kiungu kwani ndo maagizo ya Mungu. Muwe mnaekewa.Wewe ni mjinga sana! Mtu ana nyumba moja, aiuze akae mitaani ili awape watoto urithi? Umeniuthi
Nani alikwambia ujinga huo? Kama wewe ni Mkristo kasome Yakobo aliwarithisha wanae angali hai. Mimi mwenyewe Babu yangu aliwarithisha baba zetu akiwa hai. Sisi wenvewe baba yetu aliturithisha akiwa hai na mimi nataka niendeleze utaratibu huo. Wazazi ni lazima tuwaandalie watoto wetu urithi no matter what na tuwarithishe tungali hai.Urithi ni hadi wazazi wafariki, unashauri wajinga wenzio waendelee kuishi kwao huku wakisubiri hilo….. pumbavu.!
Unaonekana mhaya lakini mawazo ya kichagga! Urithi umewafikisha kwenye vihamba vyenye Mashiba ya migomba matano. Ni umaskini tu! Tafuta vyako vya baba yako ni vyake vimtunze hadi afe. Akivigawa is utamtunza wewe? Kwani yeye alijengewa na baba yake?Kila mtoto amjengee ya kwake. Wewe ndo huelewi. Mzazi kurithisha wanae urithi ni jukumu la kiungu kwani ndo maagizo ya Mungu. Muwe mnaekewa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Baba anazaa watoto wa uzeeni na michepuko halafu mtoto mkubwa ndiyo unakuwa uridhi wake kwa kusomeshaUkirithi magonjwa au jina la ukoo INATOSHA.
Ndo nnachokwambia mzazi ni lazima uandae mali za kutosha kwa kizazi chako. Na usilenge wanao tu walenge hata wajukuu. Mtu yeyote aliyerithi urifhi toka kwa baba yake huwezi kumlinganisha na yule aliyeanzia from the scratch. Tofauti yao ni kubwa.Unaonekana mhaya lakini mawazo ya kichagga! Urithi umewafikisha kwenye vihamba vyenye Mashiba ya migomba matano. Ni umaskini tu! Tafuta vyako vya baba yako ni vyake vimtunze hadi afe. Akivigawa is utamtunza wewe? Kwani yeye alijengewa na baba yake?
Unauzaje mashamba ili mtoto asome? Lima upate mazao ukauze kisha upate ADA ya mtoto, kwahiyo ukikosa ADA unaweza uza nyumba unayoishi ili utatue hiyo shida?Unakuta mzee kauza mashamba na mifugo yake ili mtoto asome....
Haiwezekani urudi kuomba mali za urithi, mali zinabaki kwa wale ambao hawajasoma...
Wewe urithi wako umeutumia kwenye kupata elimu...
Urithi wa Mali ni haki ya Mtoto,ni bora hata mtoto asingeenda shule.Unakuta mzee kauza mashamba na mifugo yake ili mtoto asome....
Haiwezekani urudi kuomba mali za urithi, mali zinabaki kwa wale ambao hawajasoma...
Wewe urithi wako umeutumia kwenye kupata elimu...
Sio kweli,tangu zama na zama kijana akikuwa anaozeshwa mke na anapewa sehemu ya Mali.Urithi ni hadi wazazi wafariki, unashauri wajinga wenzio waendelee kuishi kwao huku wakisubiri hilo….. pumbavu.!
Ndugu Maisha ni muendelezo wa kizazi na mali.Sasa kila kizazi kikiwa kinaanza kutafuta upya ni lini koo/familia zitatoka kwenye lindi la umasukini.Hapa ndipo Wahindi na Waarabu walipo tushinda.Suala la Uchumi sio la mtu binafsi,ni suala la familia/ukoo.Mimi sikurithi, watoto wangu hawakurithi pia! Acha mawazo ya kipuuzi tafuta vyako
Hakuna ukoo usio kuwa na Ardhi au Mifugo na hizi ndio Mali za kuendeleza.Wewe ni mjinga sana! Mtu ana nyumba moja, aiuze akae mitaani ili awape watoto urithi? Umeniuthi
Tena unaoa kwa mbinde ukishaoa tu naye anakuwa mmoja wapo ya wahitaji Baba ana miaka 50 lakini hawezi kujitunza kutwa kwa watoto ambao hata atua moja hajamridhisha hili tatizo kabisaMaisha yamekuw magumu , wazee wa sikuhz ata uwambie natak kuoa wanakwambia kila la Heri hawakupi hata sehemu ya mahari
Mi naona kama unasema yana ukweli fuln ni muhm japo sio lazm wazazi watazame maish ya kizazi chao kinasimama vp kiuchumi
Pengn wazaz unakuta wazee lakn wanakomaa na mali nyingi wew unateseka na tatzo linakuja akifa muaze kupgan wakat angetoa sehemu ya mali mkayaanda na nyie maisha .
Nani alikwambia ujinga huo? Kama wewe ni Mkristo kasome Yakobo aliwarithisha wanae angali hai. Mimi mwenyewe Babu yangu aliwarithisha baba zetu akiwa hai. Sisi wenvewe baba yetu aliturithisha akiwa hai na mimi nataka niendeleze utaratibu huo. Wazazi ni lazima tuwaandalie watoto wetu urithi no matter what na tuwarithishe tungali hai.
Sisi wazee wengine hatuna cha kuwapa wanetu zaidi ya kulipa ada huko mashuleni/vyuoni.
Mleta mada unataka tukate pyumbuu zetu ndio uone tumewapa urithi wanetu?
Acha hizo aisee))
Binafsi pesa yangu ni ya kwangu na mke wangu. Watoto nawapeni ELIMU basi