Wazazi jitahidini kuwaelimisha mabinti wa shule waache tamaa

Wakuu hope mko poa.

Me ni graduate, nilipomaliza chuo kazi hamna, niliamua kufungua bihashara, namshukuru mungu bihashara inaenda poa kwakweli.
We graduate bihashara ndo kitu gani?
 
Kwa taarifa yako huyo mtoto hata akija kujazwa na njemba nyingine huko mzee baba huchomoki huk msala na ukija kuchomoka utachomoka ukiwa umechoka sana
We kweli hewa,,yaani apigwe nje mie nipate msala
 
Sasa hapo mtoto wa watu ana kosa gani. Ni tamaa ipi amekuonyesha?!

Mbona anaonekana ni binti mwenye adabu na anajitoa na kujituma. Pengine ndio future wife ila wewe na kichwa chako kizito umefeli kutambua hilo.
Mmm mpaka amalize shule,,ntakuwa nshaoa
 
Mmmm sidhani
 
Mkuu endelea hivyo hivyo kufikiria kwa kichwa cha juu, mchukulie kama mdogo wako, mademu wako wengi tuu...
 
Me
Bihashara
MMama
dadaz

Msomi wetu huyo.
 
Mimi nakutabiria tu, hiyo bihashara utaifunga ndani ya miezi michache kuanzia sasa. Then utarudi mtaani kutafuta ajira.
 
Shetani yuko karibu nawe

Mshinde katika Hilo jaribu na utafanikiwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…