Wazazi mmekuwaje?



Hakika Mama ametufikia tunabubujikwa na machozi
 
Tuache utani km Wewe ni mzuri km Mama yako anavyosema msikilize Mama yako njoo nikuoe achana na Lucas Mwashambwa
Naona unataka vita na mimi.umechagua vita ambayo utajutia kupigana.kwa ephen unachezea moto kwa ulimi wako au kuonja sumu kwa ulimi. Hapo usiguse hata kidogo maana ndio moyo wangu ulipo.utapigwa kutoka kila pande ya mwili wako na usijuwe umepigwaje.
 
Acha ujinga wako hapa wewe. Naomba usimguse ephen.huyo ndio mboni yangu. Kumgusa ni kujitafutia matatizo yatakayokuumiza maishani mwako
 
Naona unataka vita na mimi.umechagua vita ambayo utajutia kupigana.kwa ephen unachezea moto kwa ulimi wako au kuonja sumu kwa ulimi. Hapo usiguse hata kidogo maana ndio moyo wangu ulipo.utapigwa kutoka kila pande ya mwili wako na usijuwe umepigwaje.
Acha mikwala ya Nanasi mkuu,nje miba ila ndani tamu tu.
 
Na wale tuliotoa mahari alafu hakuna cha ndoa mwaka wa 3 sasa, tupo kwenye kundi gani?
 
Mkuu unaweza kuwa unajiheshim Na mtulivu Lakin Kisa hujaolewa jamii inakua haikupi heshina


Mkuu jamii ya aina gani unategemea ikupe heshima ?

Katika maisha unabidi uwe na watu wachache ambao wanabidi kukupa heshima na sio kila MTU .

MTU yeyote mwenye heshima na anayejitambua hawezi kumdharau mwanamke yeyote kisa tu hajaolewa


Mtazame Jokate
 
Hii iinatokana na wivu wetu wazazi kwa wakwe zetu hasa ambao tunategemea kipato cha watoto, maana akiolewa anawajibika kwa mumewe. Kama hajaolewa anawajibika kutuma hela kwa wazazi. Hivyo mzazi anaomba usipate mwenza azidi kupata posho
 
Mkuu Kuna reality Yan reality iko palepale


Mkuu tuangalia Logic kwanza

Heshima ya mwanamke inatokana na nini ?

1)kuolewa
2)anavyojiweka
3)anavyoishi na jamii yake
4)Mchango wake chanya dhidi ya WATU wngine.


Je unategemea kuvuna HESHIMA kutoka kwa jamii ya WATU wa aina gani?

Je heshima ya jamii inakuongezea nini na uliikosa unapungukiwa nini ?

Na unajua hakuna WATU wanaheshimika mtaani Kama watu ambao mambo yao ni private hawajulikani kama wameaoa au hawajaolewa.


So twende na LOGIC kwanza.
 
Mtu àmbaye hajaolewa au Kuoa kwèñye jamii huonekana NI mhuni na Malaya Kwa sababu hawezi kuishi Bila kufanya ñgono.

Sasa kama Mtu hawezi kuishi Bila ñgono Basi jamii huchukulia Moja ya mambo yafuatayo;
1. Anatoka na waume za Watu au wachumba za Watu

2. Ananunua Malaya
3. NI shoga au msagaji
4. Analala na Wake au wachumba za Watu
5. Anapiga punyeto, au anatumia dildo au anajisaga

Wewe kama Hun Mchumba Wala Mume haja zako za kingono unamalizia Wapi?
 
Mwanamke asieolewa ilihali umri wa kuolewa umeshatimia ni sawa na chai bila sukari💔
Dada olewa kuto olewa sio sifa njema en no eligible woman can be proud of being unmarried unless otherwise is having mental health problem
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…