Wazazi mmekuwaje?

Issue za Kingono ni Issues za mindset tu mkuu, huko kwa mapepo na sijui nguvu za kiroho , ni mambo yasiyokua na mashiko

Sio kîla kitu kipo controlled na mindset.

Kwèñye Mwili kûna kitu kinaitwa. Tezi na homoni nyingi kati ya hizô hazipo under control ya mindset.
Ila natambua vipo controlled na ubongo.

Ubongo unafanya Kazi zaidi ya mindsets
 
Hata cuzo ikipita miaka 2 bilabila atamtafuta anaepumua tu
 
Naomba usimguse ephen wanguu.maana utakuwa unajipiga kitanzi .hapo ni pangu na kila mtu humu jukwaani anafahamu hilo.sasa wewe jichanganye uone cha mtema kuni.
Huwezi kuichunga Bahari,
Ukichunga upande wa Coco beach wenzako wanaogelea upande wa Msasani beach.
 
Mambo mawili hapo nayaona juu ya fikra za wazazi kuhusu mtoto wa kike:

1. Kwamba, wazazi wengine huamini mtoto wa kike ni wa kuolewa tu, haijalishi kasoma saana au kiasi chake. Hii hupelekea kila hatua ya masomo anayohitimu kuonekana hatua inayofuata ni kuolewa.
2. Kwamba, baadhi ya wazazi huona mtoto wa kike kama kitega uchumi; kwamba kuolewa kwake kutachangia pato katika familia.
3. Kwamba, pengine ni aibu mtoto wa kike akizalia nyumbani.

Nashukuru Mungu, nina mabinti wawili, wamehitimu chuo, bado nawahudumia kimaisha na ninawatafutia kazi. Kamwe sijawahi na sitawauliza ni lini wataolewa. Nyumba nawalipia na 'pocket money' nawapa kila mwezi. Faraja yangu ni kuwaona wakifanikiwa kuanza maisha kivyao na kujitegemea.
 
Don't pressurized the youngest girls

God timing is perfect

Sisi tunaoamini katika spiritual realm we believe in process .
Pressurize zinakuja automatically tu, nazungumzia uhalisia simtii mtu pressure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…