Wazazi mmekuwaje?

Umewaza nini kuniuliza hivyo?

Kwangu ilikuwa tofauti kidogo enzi za makuzi nilitamani sana kuolewa nikiwa na 24 ila kwa mapenzi ya Mungu niliolewa 17 kama muhanga wa ndoa za utotoni.....
Oooh! Ila muhimu una furaha
 
Wazazi wanashauri kile kilichochema,. Baada ya kumaliza chuo maana yake ushakua mtu mzima. Usipoolewa utazeeka na mwisho hautoolewa kabisa. Ndo hivyo wanakushauri uolewe muda huo ndio muafaka
 
Sio kîla kitu kipo controlled na mindset.

Kwèñye Mwili kûna kitu kinaitwa. Tezi na homoni nyingi kati ya hizô hazipo under control ya mindset.
Ila natambua vipo controlled na ubongo.

Ubongo unafanya Kazi zaidi ya mindsets
Sure,ila naona mimi nina uwezo wa kupotezea upwiru hata miaka miwili ,na nipo sawa tu🤣🤣🤣🤣🤣
 
Umewaza nini kuniuliza hivyo?

Kwangu ilikuwa tofauti kidogo enzi za makuzi nilitamani sana kuolewa nikiwa na 24 ila kwa mapenzi ya Mungu niliolewa 17 kama muhanga wa ndoa za utotoni.....

17 yrs itakuwa ulianza michezo ya hatari ukiwa mdogo

I guess ulipewa mimba na ndo ikawa lazima uolewe.
 
Sure,ila naona mimi nina uwezo wa kupotezea upwiru hata miaka miwili ,na nipo sawa tu🤣🤣🤣🤣🤣
Miaka miwili uji ukae tu bila kutoka🤔
 
Sure,ila naona mimi nina uwezo wa kupotezea upwiru hata miaka miwili ,na nipo sawa tu🤣🤣🤣🤣🤣

Sasa miaka miwili ndîo utishie Watu Maisha Hapa😃😃

Wenzako tunakaa Miaka mpaka mitano.
Lakini Moto tunauona

Yàani NI kama Kuzuia mawazo kwèñye ubongo
 
@ephen nifungulie pm nitext
 
Kama ujaolewa na hauna bikira Mama yako ana haki ya kukuuliza hayo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…