DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Sasa miaka miwili ndîo utishie Watu Maisha Hapa😃😃
Wenzako tunakaa Miaka mpaka mitano.
Lakini Moto tunauona
Yàani NI kama Kuzuia mawazo kwèñye ubongo
be open minded!Chochote ongea hapa mkuu! Kama unataka kunioa sitaki😂
Ina madhara ya muda mrefu kisaikolojia ndo maana serikali inazipiga marufuku....hata hivyo ilinishindaOooh! Ila muhimu una furaha
Ila kuzalia nyumbani ndo sawaKumlazimisha mtoto kuolewa si sawa.
Miwili najiona mwamba mkuu, kuna mda unawaza maisha mpaka unasahau kazi yake nyingne tofauti na kukojoa tu mkali.
Ka
Mimi nataka nikutane na mwanamke 2030 kuanzia sasa ntakuwa na 33 yrs
Hii challenge nataka niitumie nione matokeo yake.
Bado unapigwa miti nje harafu aje kuja mshamba mmoja kukuoa ushachakaaSina mpango wa kuolewa, sifikirii hata kwa sasa
Yaani kuhusu ndoa mimi bado sana..!
Umeshaolewa sasa? Au na wewe umepata kazi.
KATAA NDOA mkuu😂😂is it?!
Hapana mkuu, ni wote tu nyumbani wanaume kwa wanawake hakuna aliyewahi kuulizwa unaolewa/unaoa lini? Ni ukiwa tu tayari unasema mambo mengine yanaendelea.
Hamna ngono bila ya ndoa ni ubatili ...Nina maana kwamba sio lazima kujihusisha na ngono maana hata ndoa sio lazima.Ila kuzalia nyumbani ndo sawa
🤣🤣🤣🤣🤣Ukifungulia utakua chapa ilale mpaka uzeeke mkuu.Ka
Mimi nataka nikutane na mwanamke 2030 kuanzia sasa ntakuwa na 33 yrs
Hii challenge nataka niitumie nione matokeo yake.
🤣🤣🤣🤣🤣Ukifungulia utakua chapa ilale mpaka uzeeke mkuu.
wewe njoo tukutane nione kama naweza kukuweka ndaniPole kapeace, Mungu ni wetu sote
Mimi ni mjumbe kwenye hicho kikundi😂KATAA NDOA mkuu