Wazazi mmekuwaje?

Wazazi mmekuwaje?

Jumapili iliyopita sikwenda Kanisani.
Lakini Ile nyingine iliyopita, jumapili ya juzi,nilikwenda Kanisani ghetto.
Hili Kanisa la Roman Catholic.
[ Incidentally, katika Kanisa hili,zamani kidogo,nilipita pale nje Jumapili moja,nikaona ulinzi mkali sana,Polisi,FFU.
Baada ya Misa nikamwona yule mgeni wa heshima anaingia ndani ya gari anaondoka. Ameonyoa kipara.
Nikauliza,"Nani yule?"
Nikaambiwa,"IGP Wambura." Yaani,huyu IGP wa sasa.]
Mawazo yangu yalikuwa,"Kwa ajili kila wakati nipo huku ghetto kwa nini nisiende kusali na wale watu ninaokutana nao kila siku?"
Nimekwenda ghetto, matangazo ya Kanisani baada ya Misa,ndoa kumi na tano zimetangazwa.
Nikaona,Wallahi,hawa watu wako serious,hawataki mambo ya mchezo,wanataka kufunga ndoa
 
Soon baada ya chuo maana mchumba tulipatana hapo hapo chuoni...uzuri alipata kazi baada ya kumaliza chuo..mimi aliniacha hapo chuo mwaka mmoja..so swala likawa rahisi kama kumsukuma mlevi...
Unataka uolewe lini mdogo wangu kipenzi...unasubiri nini? Je ni ww hutaki au wachumba ndo hawaji??
Struggles wanazokutana nazo wadada wanaotaka kuolewa ni kwamba anataka kuolewa na juma, ila juma hataki kuoa, juma anataka ale papuchi halafu asepe, wakati hapo hapo mdada huyo huyo anatongozwa na husband material Hussein, ila hampendi Hussein, moyo haupo kwa Hussein, moyo upo kwa juma Kalpana
 
Umemalizaaaa....hilo ni janga
 
Utapata ukitaka...😀😀😀hakuna mwanaume ata resist kama uko na wife material fichazi...cha kwanza ni kuwa na uhitaji kutoka moyoni...sio unasema unataka kuolewa ila matendo yanaonesha unapinga ndoa...
Umeongea point, unakuta mdada ana miaka 29, hana mtoto, kwenye maongezi yake unaona kabisa huyu yupo desperate na ndoa, ila cha ajabu ukimtongoza leo, kesho anaomba hela.

Hapo mwanaume lazma u-abort mission Kalpana
 
Kwahiyo binti asiyeomba hela ndio wife material?
 
Sasa hamtaki kuombwa fwedhwaa...😄😄😄😄😄
 
Struggles wanazokutana nazo wadada wanaotaka kuolewa ni kwamba anataka kuolewa na juma, ila juma hataki kuoa, juma anataka ale papuchi halafu asepe, wakati hapo hapo mdada huyo huyo anatongozwa na husband material Hussein, ila hampendi Hussein, moyo haupo kwa Hussein, moyo upo kwa juma Kalpana
ephen_ ya kweli haya dogo?
 
Kwahiyo binti asiyeomba hela ndio wife material?
Shida sio kuomba hela, mara nyingi shida ni timing, tuna wiki tangu tujuane, unaniletea story za kuniomba hela kisa mjomba wako kameza shoka, mwanaume lazma nihisi tu hapa sina mtu ephen_
 
Kwahiyo ukiombwa pesa unatoa muhimu timing?
 
Back
Top Bottom