Wazazi na ndugu wa mke wangu wananikosesha raha

Mke wangu nimejaribu kumwambia awambie ndugu zake na wazazi warudi kijijini lakini hataki eti anatamani awe nao karibu ili akibahatika kupata mtoto wamsaidie kulea.
Mtoto atapataje kama nafasi ya ww Kula mzigo HAKUNA?!!!
 
haya mambo ya familia kujazana kwa mtu yapo sana kama hutokuwa na msimamo(wewe mwanaume) basi utaubeba mzigo wa dhambi ,.
Nishawahi pitia nikawa nafamilia ya watu Tisa ,uwajuwe chai asubuhi ,mchana wamekula ,jioni ,Alafu hapo hapo akatakiwa aje mtu mwingine ,Ndipo nilipokaa nikawaeleza msidhani maisha nirahisi kuendesha hii familia ,Hapa haongezeki mtu kama waliokuwepo hawajapungua ,mimi pesa siokoti sasa tusiishi kwa kukomoana ,maisha magumu .(Tena ugeni ulikuja kwa ajili ya ugonjwa ,isingekuwa hivyo nilishatimuwa wote)
 
Ukiwa na akili hiyo huwezi toboa maisha walah, yaani changamoto ndogo namna hiyo unakuja kulia lia jf? Wangekuwa ni wazazi wako ungelalamika kiivo? Yaani umenichefua sana. Be a real man
@kawoli si kasema familia ya 7yote imehamia kwake na maisha hajatoboa unatak afanyaje
Wema usizidi uwezo mkuu
 
Usitoe matumizi kiongozi mwambie waifu Mambo magumu
 
Ukiwa na akili hiyo huwezi toboa maisha walah, yaani changamoto ndogo namna hiyo unakuja kulia lia jf? Wangekuwa ni wazazi wako ungelalamika kiivo? Yaani umenichefua sana. Be a real man
Acha drama wewe huyo ni kijana anaanza maisha kwanza amepanga alafu maboya wanakuja kujaa ndani... sema huwezi elewa maana unaishi kwa shemeji
 
Wagogo hao huwa wanahamia ukoo mzima, lazima uwe nunda.
 
Sawa ni kuanza Lia matatizo,
Iwe kwenda WA ugali mboga za majani daily. Watachoka soon
Ila ukiendelea kuwawekea mboga Saba hawatahama hata uwachape
 
Awaambie tu anataka kufanya ukarabati wa nyumba so anaomba wapishe ujenzi😅 wasepe Dodoma kwa muda mpaka kipindi ambacho patatengemaa
 
Vumilia.... Hizo ndo tabia za wagogo!!
 
Yani kabisa watu wazima unatuandikia tustory twa kitoto hivi,au unajifunza comedy za maandishi?
 
Shida ya kuoa watu ambao hawajielewi hii.
 
mmmmmh mdada... Mkaksi hivo?
 
Babe nikikuoa na wewe utanijazia familia yenu yote nyumbani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…