Wazazi nchini wawaonya vijana wao kutothubutu kushiriki maandamano ya CHADEMA

Wazazi wa chama gani?.
ni wazazi wa zalendo wa kiTanzania wenye uchungu na mapenzi ya dhati kwa vijana wao wa kuwazaa na kuwalea dhidi ya kuthubutu kushiriki maandamano haramu ya Chadema πŸ’
 
W
nina wasiwasi kwa mivutano ya ndani ya chadema inaweza kuzidisha kuviziana na kuumizana zaidi chama kinapoelekea Uchaguzi wa ngazi ya juu,

na huenda mapigano yakaanzia ndrani ya Chadema yenyewe,

kweli hili hulioni kabisaa gentleman? πŸ’
Learn to be positive acha kuishi Kwa wasiwasi kijanaa... yeyote anayevunja Sheria anastahili kuchukuliwa Sheria kikamilifu avae kijani,avae gwanda,awe na cheo ama awe kiboko ya wachawii😁
 
Tusaidie video ya huyo mzazi, au hukufanikiwa kupata hata AUDIO? πŸ˜›
 
Hao Wazazi ni punguani. Watoto wao wakitekwa wanywe mvinyo kwa furaha.
ni laana kuwadhihaki wazazi, ni kujitafutia mikosi kuonyesha ukaidi, kiburi, jeuri na mihemko usiyo na maana...

asie sikia la mkuu huvunjika guu, vijana wakaidi itakua reference kwa jamii baadae πŸ’
 
Leo wakati wa maandalizi ya mwisho kwaajili ya ibada na maombi maalumu kesho Jumapili yenye dhumuni la kuiombea nchi yetu amani
Kwanini msioembee serikali itende haki, Amani ni tunda lahaki.
 
Tusaidie video ya huyo mzazi, au hukufanikiwa kupata hata AUDIO? πŸ˜›
muhimu na jambo la maana sana la kuzingati ni mawaidha ya wazazi,

ukiwa wewe ni jeuri zaidi na mwenye imani haba kama ya Tomaso ndio uamini, Basi wazazi kwa uchungu sana watakutembelea huko hospitalini ukiwa na POP kubwa sana mguuni, kiunoni na mkononi huku ukiwa huwezi hata kujieleza maskini dah, kiburi na ukaidi ni kitu mbaya sana aise πŸ’
 
Miaka 18 huyo ni mtu mzima ambaye anapaswa kujiamulia mambo yake mwenyewe, Chini ya miaka 18 ni mtoto ambaye sidhani kama CDM wanamuhitaji kwenye maandamano.

Mbona tunasema tuliruhusu maandamano, imekuaje tena hatutaki CDM waandamane?
 
Kwanini msioembee serikali itende haki, Amani ni tunda lahaki.
ni muhimu zaidi kama Taifa, kuungana kwa umoja kuiombea umoja, amani, utulivu na utangamano nchi yetu bila kumtenga au kumuweka nje mTanzania yeyote. serikali ni watu na ndio waTanzania wote πŸ’

ni muhimu sana ukazingatia hilo ibada ya pili inaendelea hivi sasa bila mbambamba yoyote
 
Bila ya kuwepo haki, hayo maombi yenu kazi bure.
 
Miaka 18 huyo ni mtu mzima ambaye anapaswa kujiamulia mambo yake mwenyewe, Chini ya miaka 18 ni mtoto ambaye sidhani kama CDM wanamuhitaji kwenye maandamano.

Mbona tunasema tuliruhusu maandamano, imekuaje tena hatutaki CDM waandamane?
Yes,
ndio hao hao ambao leo hii ni walemavu wategemezi kwa wazazi wao na wanajutia ukaidi wao baada ya kukatazwa hivi hivi kwamba msithubutu kushiriki maandamano haramu ya Chadema, ukiumizwa au kuvunjwa miguu wanaoteseka ni wazazi sio chadema ndrugo zangu,

acheni kiburi na jeuri vijana,
wazazi wenu wanawapendra sana mjue,

hata hivyo mjuaji na asie skia la mkuu huvunjika guu, binafsi nawaonea huruma sana kama mbobevu wa masuala ya kisiasa kitaifa na kimatafa πŸ’
 
Sio kweli ni uzushi mtupu, upuuzwe.
 
wengi wanaoandamana ni vijana wasiyo na kazi ,akili zilizolala ndiyo zinaandamana.unaacha kutafuta fedha unaenda kuandnamana kwa sababu ya siasa ambazo hazikuletei kipato.
mzazi umemtuma mtoto aende shule siyo kwenda kuandamana.mimi nikikuta mtoto wangu ameenda kundamana kwa sababu za kisiasa namvunja mguu mwenyewe
 
Amani hustawishwa na haki.

Ukitenda haki, amani itatamalaki
 
Wazazi wa Jumuiya ya Wazazi CCM?
 
Waacheni waandamane wapeni ulinzi tu,wasi wasi wenu nn

Ova
 
Labda wewe ndio umemzuia mtoto wako MAYAI MAYAI.
sawa tu,
ni matarajio ya baadhi ya watu kujifnza kutoka kwa watoto nundaz, makaidi, jeuri na wenye viburi kwa wazazi wao

tunasubiri kuona faida ya ukaidi wao mahospitalini na magerezani πŸ’

maana asie sikia la mkuu itatoa majibu muafaka kwa wakati muafaka πŸ’
 
Waacheni waandamane wapeni ulinzi tu,wasi wasi wenu nn

Ova
makaidi, jeuri na manundazi yeke kiburi kwa wazazi wao, sheria na serikali yao sikivu ya CCM yapewe ulinzi kwenye maandamano haramu, kweli mrangi, are you serious?πŸ’
 
Nyie wanaccm si hamtekwi, hii haukuhusu mkuu. Nyie kaeni gongeni glass kukeni na popcorn kabisa.

Sisi tunaotekwa tutaandamana kwa kuwa ni haki kisheria na tumechoka kutekwa.

Kama ni kutuua kwa bunduki ni Bora maana maiti zetu zitazikwa kwa heshika kuliko maiti zetu kupoteza kabisa kwa kuliwa na wanyama au kuzikwa kusikojulikana.

Kuita vyama vya upinzani wahuni ni kujikosea heshima mwenyewe na kukosea serikali yenu heshima. Kwamba katiba imesajili wahuni, Rais na watu wake mara kwa mara wanaongea na kuwapa heshima wahuni.

Lakini pia unalikisea hata Bunge lako heshima wanaoitwa waheshimiwa wabunge la upinzani unaita wahuni.

We huna tofauti na mabinti wanasema wanaume wote ni mbwa, yaani hata baba yake ni mbwa. Hivyo kwa kuwa yeye ni mwanae basi anasahau na yeye lazima atakuwa mbwa mdogo. Hivyo acha kujidhalilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…