Wazazi tumefeli wapi katika malezi ya watoto wa "2000" tujisahihishe

Ujisahihishe we nanani?acha tuenderee kufumua marinda,wengine ayo mavimabichi ya 2000 ndostarehe yetu,wana miq.. Laiiiniiii...
Na wazidi kuaribika ili wazee tupone.
.wote tuseme amiin!🙏
 
Tatizo lipo Kwa wanaume na sio Kwa hao watoto wa kike

Wanaume ndo wanaharibu jamii Kwa aslimia kubwa.

Kumkuta MTU Ana miaka 30s anahangaika na kitoto cha 2000s ni jambo la kawaida

Wanaume ndo wanabidi kualumiwa zaidi
Unamaan gan kusem kitt cha 2000? Hujui kuwa nimtu mzima mwenye 24yrs? Ana akili TIMAMU na ana aki yakufanya mamuziyake, hata akitaka kulal na mzee wamiaka 90 ni yy
 
Tatizo lipo Kwa wanaume na sio Kwa hao watoto wa kike

Wanaume ndo wanaharibu jamii Kwa aslimia kubwa.

Kumkuta MTU Ana miaka 30s anahangaika na kitoto cha 2000s ni jambo la kawaida

Wanaume ndo wanabidi kualumiwa zaidi
Sasa hao wa miaka 30 si ndo size yetu mkuu,,yaani tuolewe na wa 2000 wenzetu🥲🥲
 
Tatizo lipo Kwa wanaume na sio Kwa hao watoto wa kike

Wanaume ndo wanaharibu jamii Kwa aslimia kubwa.

Kumkuta MTU Ana miaka 30s anahangaika na kitoto cha 2000s ni jambo la kawaida

Wanaume ndo wanabidi kualumiwa zaidi

Unajua mtu wa 2000 sasa ana miaka 24. Mwenye 30 wamepishana miaka 6 tu. Hao ni watu wazima. Maisha yao uamuzi wao.
 
Malezi, zamani hofu ya Mungu ilitibu huu ujinga..

Lakini pia kuna wanaume wapumbavu wajinga ambao vichwa vyao na miili yao imejaa laana , mwanaume mzima na akili yako unaanzaje kupita njia za M∆VI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…