Wazazi tumefeli wapi katika malezi ya watoto wa "2000" tujisahihishe

Kizazi kimepoteza muelekeo
 
Hii inafikirisha sana
 
Watoto wakiwa shuleni wanafundishana ujingaa yaani ni hivi kwa mfano shule za galz huwa wanakaa na kuanza kusimuliana the way wanavyotongozwa na wanaume wa rika mbalimbali,

na namna wanavyojihusisha na ngono pamoja nao na wanaelekezana staili na mengine mengi nadhani membaz wa kike watakuja kutoa ushahidi kwa wale waliosoma shule za galz tupu aidha advans au olevo
 
Ndio maana kila siku nawaambia hakuna haja ya kujistress kulipa mamilioni shule za Ems wakati kizazi chenyewe ndio hiki.

Haya sasa twende kazi. Haraka sana toa watoto wako shule za Ems warejeshe Kayumba.

Thank me later.

πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»
 
Wazazi wamewekeza muda kutafuta oesa kwa ajili ya familia, huku hizo familia zikiharibika
Nakubaliana na wewe na Mzazi anajali sana mtoto kuangalia TV mbona sisi tulikua tu bila TV na maisha yalisonga na unabaki hime unasubiri mama arudi bila Tv na hakuna kwenda kucheza mbali.
 
Better umtrain Home mwenyewe kama Tatizo ni English
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…