Wazazi tumefeli wapi katika malezi ya watoto wa "2000" tujisahihishe

Ndio mana naogopa kupeleka mtoto hizo shule za girls pekee hata wa ndugu Yangu tu
 
Hapana si sawa mkuu. Kwa sisi waafrika tunaishi katika falsafa ya ujamaa. Watoto wako ni watoto wangu. Binti wa mwenzako anaweza kuja mke wa kijana wako so ukihangaika na binti huyo unaweza kuwa unahangaika na mwanao wa kiume indirectly.
Hangaika na watoto wako. Wa wenzio waachie wenzako.

Wewe wako wanatumia line ngapi?
 
Life style ya mjini ni mbaya watu wa mjini wanajifanya wanalea watoto kishua eti waonekane wana pesa kumbe wanawaharibu,mavazi ya mjini vituko,shule za mjini kwenda gari kurudi gari hahaha 🤣, vyakula sasa ndo usiseme kemikali tupu,cha kufanya hata kama unaishi mjini ishi maisha ya kawaida tu hata kama una pesa usiige,somesha watoto shule za kawaida kula vyakula vya asili,wanunulie watoto mavazi yanayofaa hapa ndiyo wengi wanafeli unakuta mama mzima amevaa siketi fupi mapaja yanaonekana halafu ameongozana na mtoto kwenda sokoni huku amemvalisha mtoto wa kike suruari anayobana imemchora kabisa,haya maisha ya mjini yanaharibu vizazi ukienda kijijini hawaishi hivyo
 

Kizazi cha ARV.

Wengi walizaliwa wakiwa na virusi vidhaniwavyo kuwa ni vya ukimwi.
 
Acha waendelee hivyo hivyo.

Maisha yakisha wapiga kisawasawa hakuna kuonea huruma.

Kuna mdau alileta uzi humu wa wakina mama wauza matunda, Tuwe tuna waonea huruma kwa kuwaungisha biashara zao.

Lakini comments nyingi zilionesha wengi wa wakina mama hao, walikuwa ni sikio la kufa halisikii dawa.

Kwa hivyo hata hao mabinti ni swala la muda tu, Life will teach them a lesson.
 
Aisee 🙌
 
Atakuliza kwanini hutaki ?
Utajibu " huo ni udhalilishaji kabisa"
Vingine vyote mnavyofanya sio udhalilishaji?
Ama hii umeamua kuitafsiri kibinafsi ?
We rafiki,kwanza mtu kutaka tu hilo sijui anaanzaje....au kuniuliza hivyo sijui anaanzaje?
Wanawake Kuna muda tujue namna tunavyodharaulika na wanaume baada ya kutumika hata kwa njia ya kawaida.Niwaachie nyie,furahieni
 
Point
 
Watoto wa elfu 2 wanapaparikia sana maisha, + ujuaji mwingi
 
Nilikuwa najiuliza sana kuhusu kwanini wanaume walio wengi wanapenda makalio makubwa kumbe kwa sababu ya ushetani daah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…