Wazazi tusiache kusomesha watoto wa kike

Mnaenda kwenye Ndoa na ajenda zenu..

Nijitongozeshe,anioe nimuache nichukue 50%.nika enjoy.chukua Sasa..


Unataka umfananishe mama na mke (tena hawa wa kizazi kipya).Una kichaa???

1.Mama
2.Mama
3.Mama
4.Kaka/Dada/Watoto
5.mke

Hivi honestly speaking,kuna mwanamke wa kumpa thamani akakaa hata kwenye top 4 hapo???kama sio wanaume wachache wamebahatisha ndo wanaweza kumuweka hapo juu..mke

Kuna kitu kimepoteza thamani km mke nowadays??Unadhani vijana ni wajinga kukwepa kuoa???


Mimi mke wangu atakuja kukaa hapo kwenye 1 au 2 akifikisha miaka 45 bila mauzauza ndo naweza mzingatia nikamuweka hapo..

Kwa Sasa muache awepo ana hang hang.Hamna makubwa niliyopitia na yeye aka prove she deserves Seat no .1..

A woman has to prove she is the One..

Kama ambavyo mama Ali prove kwamba ana Mchango kwa kunilea Toka utoto mpk umri huu.Na yeye a prove kwamba nafasi ya mke anahistahili otherwise utampa mtu thamani kubwaaa mwisho wa siku Yeye ndo anakukwamisha...Nione kweli anastahili.

Na hapo kwenye ku prove ndo kipengele
 
Hata akiwa na pesa kiasi gani bado atataka apate na pesa za mwanaume ambazo hajatolea jasho hapo ndipo shida inapo anzia,pesa zangu na Mali zangu bora nimpe mama azifanye chochote anacho taka ni sawa tuu, sasa ni mwendo wa kuwa hakimi mwanzo mwisho
 
Broke like hakimi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Reactions: Cyb
Hakimi amewagusa kwenye mshono wazee wa 50/50.

Yaani To yeye na favour zote mnazopewa wanawake, mnavotetewa na jamii, serikali za nchi zote zinavyowaangalia kwa jicho la tatu, bado unaweka msisitizo wa nyie kuzingatiwa kielimu??
 
Mengine Yote Nakuachia Wewe Na Maono Yako Ila WATOTO WA KIKE TUWASOMESHE HASWA.
 
Ngoja nikamuombe mama smartphone yake nije nijibu hichi unacholilia ila wewe umeolewa kama umeolewa andika Mali zako watoto wako ujanyimwa acha mihemuko
 
Hata akiwa na pesa kiasi gani bado atataka apate na pesa za mwanaume ambazo hajatolea jasho hapo ndipo shida inapo anzia,pesa zangu na Mali zangu bora nimpe mama azifanye chochote anacho taka ni sawa tuu, sasa ni mwendo wa kuwa hakimi mwanzo mwisho
Hakuna bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…