Wazazi tusiache kusomesha watoto wa kike

Sasa mbona wakifanya wadada wa kazi mnalalamika kuwa kazi zote wameachiwa wao hadi kufikia hatua ya ninyi kutembea na hao wadada
Achana nao, full kujitetea...waache
 
Cheki jamaa yangu analia Twitter huko , Hakimi alikuwa sahihi mno, na siku zote wanawake wasomi wengi wataishia kuwa single mothers maana hawataki habari za kutawaliwa, Wana testosterone nyingi wanataka utawala na hatuwezi wapa, hebu soma hiyo pic chini.
 

Attachments

  • Screenshot_20230415-221313.jpg
    38.6 KB · Views: 1
Mke wa Hakimi ana masters
 
Shida yenu mnasomeshwa na mnapata kazi, na kazi zenu haziwamalizii shida zenu. Yaani mnaendelea kuwa tegemezi.

Inabidi mpewe Elimu ya kujitambua ila hizi kazi na Elimu zenu za mashuleni zimewafikisha hapa mlipo.

Kingine kwa sisi tulio oa, tunajua nafasi ya mama na mke. Kila mmoja kati ya hao wana nafasi yake, ila kwa ujumla wake nafasi ya mama ni kubwa kuliko nafasi ya mke, japokuwa Kuna wakati mke anatangulizwa.
 
Yeah,nasi tutajaliwa na wanetu mkuu
 
Maisha ya ndoa yamekuwa ovyo sana
 
Unaibeba familia kiuchumi kivipi wakati ndio kutwa mnalalamika kuwa wanawake wanaingia kwenye ndoa sababu ya mali hivo nao wafanye kazi watafute vyao
Sio wote....kuna ambao wanaheshimu majukumu yao ya kindoa
 
Una hoja!
hiki Ni kiwango Cha juu Cha ubinafsi,na uchoyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…