Wazazi wa Mbunge Bashiru Ally, PhD

Wazazi wa Mbunge Bashiru Ally, PhD

Ningekua Bashiru ningefungua Kanisa nihubiri kuhusu Upendo, Kutokuonea watu, Kutodharau watu, kujenga Misingi ya Kuheshimu wengine hata kama hawana cheo, Na kuwasihi walioko Madarakani leo kwamba ya kesho ni Mungu pekee anaeyajua.
 
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.

Nimetafuta historia ya huyu mtu mwenye akili nyingi sijaipata kikamilifu.
Naomba kwa mwenye kujua walikozaliwa wazazi wake anijulishe tafadhali.

Nikiangalia sura yake naona inafanana kiasi fulani na Paul Kagame au inafanana na watu wa Rwanda.
Sasa hivi mengi yatajulikana.
Wasukuma tumesukumiziwa mzigo mzito wa lawama kumbeeee.....
Hata yule fulani si msukuma
Polepole na asili ya Burundi.
Kaaaz kwer kwer!
 
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.

Nimetafuta historia ya huyu mtu mwenye akili nyingi sijaipata kikamilifu.
Naomba kwa mwenye kujua walikozaliwa wazazi wake anijulishe tafadhali.

Nikiangalia sura yake naona inafanana kiasi fulani na Paul Kagame au inafanana na watu wa Rwanda.
Unawatakia nini bwashe au unataka kutambika?
 
Akili Kubwa Hujadili Mawazo.

Akili za Wastani Hujadili Matukio.

Akili Ndogo Hujadili Watu.

Ningekua Bashiru ningefungua Kanisa nihubiri kuhusu Upendo, Kutokuonea watu, Kutodharau watu, kujenga Misingi ya Kuheshimu wengine hata kama hawana cheo, Na kuwasihi walioko Madarakani leo kwamba ya kesho ni Mungu pekee anaeyajua.
Bashiru ni binadamu laiti tungevaa viatu vyake tuone mapito anayopitia tusingefunua vinywa kumnanga
 
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.

Nimetafuta historia ya huyu mtu mwenye akili nyingi sijaipata kikamilifu.
Naomba kwa mwenye kujua walikozaliwa wazazi wake anijulishe tafadhali.

Nikiangalia sura yake naona inafanana kiasi fulani na Paul Kagame au inafanana na watu wa Rwanda.
Kijiji alichotoka choo cha nje (paplick )kimechimbwa burundi
 
Hiyo picha yake iko wapi?

Mleta mada ana hoja.

IMG_20210501_130541_775.jpg

Hiiiiii bagosha!
 
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.

Nimetafuta historia ya huyu mtu mwenye akili nyingi sijaipata kikamilifu.
Naomba kwa mwenye kujua walikozaliwa wazazi wake anijulishe tafadhali.

Nikiangalia sura yake naona inafanana kiasi fulani na Paul Kagame au inafanana na watu wa Rwanda.
Kwa taarifa yako,watu wa mipakani,hususani Kagera,maeneo ya ngara,mtukura,kyelwa wanafanana na watu wa nchi jirani,hata lugha zinafanana.
Ni kitu Cha kawaida,sasa ulitaka mzaramo afanane na Mganda,au mrundi kuliko mnyia wa Tunduma,au Muha wa kigoma?
 
Bashiru ni binadamu laiti tungevaa viatu vyake tuone mapito anayopitia tusingefunua vinywa kumnanga

Kwani nini kimemkumba mkuu? Ina maana kaumia na msiba kuliko wafiwa wenyewe?
 
Kwa taarifa yako,watu wa mipakani,hususani Kagera,maeneo ya ngara,mtukura,kyelwa wanafanana na watu wa nchi jirani,hata lugha zinafanana.
Ni kitu Cha kawaida,sasa ulitaka mzaramo afanane na Mganda,au mrundi kuliko mnyia wa Tunduma,au Muha wa kigoma?

Taabu ni kufanana na roho za ugenini mkuu.
 
Jamaa hadi naanza kumuonea huruma ile kibinadam yaan.Hili kosa alilofanya Bashiru ni baya kwa taifa lakini kibongobongo hizi matukio tulio wengi zishatukuta makazini kwetu.
 
Halafu wahuni sio watu,

wakamuweka pemben ya Comrade Mwamba Abdulrahman Omar Kinana!
Unajua ni kwanini Kinana hakuweza kugombea ubunge huko Arusha baada ya kuwa mbunge awali? ni Wagogo tu ndio wana asili ya hapahap Tanzania wengine wote ni wahamiaji tu pamoja na hao wazaramo
 
Back
Top Bottom