Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hivi mengi yatajulikana.Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.
Nimetafuta historia ya huyu mtu mwenye akili nyingi sijaipata kikamilifu.
Naomba kwa mwenye kujua walikozaliwa wazazi wake anijulishe tafadhali.
Nikiangalia sura yake naona inafanana kiasi fulani na Paul Kagame au inafanana na watu wa Rwanda.
Yatima hadeki lkn naona wewe unadeka dogo, ukiendelea kudema wahuni watakusafishia mtaro[emoji41]
Alikuwa Waziri wa ulinzi sio Naibu!!!
Unawatakia nini bwashe au unataka kutambika?Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.
Nimetafuta historia ya huyu mtu mwenye akili nyingi sijaipata kikamilifu.
Naomba kwa mwenye kujua walikozaliwa wazazi wake anijulishe tafadhali.
Nikiangalia sura yake naona inafanana kiasi fulani na Paul Kagame au inafanana na watu wa Rwanda.
Huku akili za kikuda zikijadili thread za watu.Akili Kubwa Hujadili Mawazo.
Akili za Wastani Hujadili Matukio.
Akili Ndogo Hujadili Watu.
Bashiru ni binadamu laiti tungevaa viatu vyake tuone mapito anayopitia tusingefunua vinywa kumnangaNingekua Bashiru ningefungua Kanisa nihubiri kuhusu Upendo, Kutokuonea watu, Kutodharau watu, kujenga Misingi ya Kuheshimu wengine hata kama hawana cheo, Na kuwasihi walioko Madarakani leo kwamba ya kesho ni Mungu pekee anaeyajua.
Kijiji alichotoka choo cha nje (paplick )kimechimbwa burundiNawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.
Nimetafuta historia ya huyu mtu mwenye akili nyingi sijaipata kikamilifu.
Naomba kwa mwenye kujua walikozaliwa wazazi wake anijulishe tafadhali.
Nikiangalia sura yake naona inafanana kiasi fulani na Paul Kagame au inafanana na watu wa Rwanda.
Sory mkuu hapo ndio yupi[emoji134][emoji134]
Kwa taarifa yako,watu wa mipakani,hususani Kagera,maeneo ya ngara,mtukura,kyelwa wanafanana na watu wa nchi jirani,hata lugha zinafanana.Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.
Nimetafuta historia ya huyu mtu mwenye akili nyingi sijaipata kikamilifu.
Naomba kwa mwenye kujua walikozaliwa wazazi wake anijulishe tafadhali.
Nikiangalia sura yake naona inafanana kiasi fulani na Paul Kagame au inafanana na watu wa Rwanda.
Bashiru ni binadamu laiti tungevaa viatu vyake tuone mapito anayopitia tusingefunua vinywa kumnanga
Kwa taarifa yako,watu wa mipakani,hususani Kagera,maeneo ya ngara,mtukura,kyelwa wanafanana na watu wa nchi jirani,hata lugha zinafanana.
Ni kitu Cha kawaida,sasa ulitaka mzaramo afanane na Mganda,au mrundi kuliko mnyia wa Tunduma,au Muha wa kigoma?
Unajua ni kwanini Kinana hakuweza kugombea ubunge huko Arusha baada ya kuwa mbunge awali? ni Wagogo tu ndio wana asili ya hapahap Tanzania wengine wote ni wahamiaji tu pamoja na hao wazaramoHalafu wahuni sio watu,
wakamuweka pemben ya Comrade Mwamba Abdulrahman Omar Kinana!
Pia alitolewa ubunge wa Arusha kwa kutokuwa raia, kampuni yake ilishikwa na meno ya temboAlikuwa Waziri wa ulinzi sio Naibu!!!