Wazazi wa mtoto huyu watakesha wanabubujikwa machozi ya furaha na kumuombea maisha marefu Rais Samia

Kama ni jambo dogo basi na wewe nenda ukawasaidie wengine
Hata nikisaidia siwezi kuleta stori ya kutoa mguu mmoja wa bandia kama unachofanya,kwanza sio hadhi kwa status na level ya rais kusifika kanunua mguu wa mmoja bandia
 
Ndugu,usipoteze muda kujibizana na PUNGUANI,mguu wa bandia hata Diwani anao uwezo wa kumsaidia Mwananchi wake,ni kumshushia hadhi Rais kwa jitu zima kuanzisha Uzi mrefu eti kisa Rais kasaidia mguu wa bandia tena wa mtoto
 
Mwambie mama tunataka mitambo ya nuclear kuzalisha umeme...

Uo mguu akizidi kukua je atakuwa kamwekea bajeti ya kuu apdate uo mguu
 
wakati naingia JF mimi nilikuwa najiona kilaza kazi yangu ilikuwa kusoma na kujifunza zaidi kiasi kwamba nilikuwa napata msg changia.
lakini sijui wale watu wameenda wapi huwenda wangetusaidia katika kipindi hiki ambacho kwa lugha rahisi kidogo wengi tumetoka katika nafasi zetu hasa wanaume na kuwaza leo tu na tuko tayari jamii iteseke kuhakikisha yetu yanakwenda.
nafsi yangu inaumia kwa watu wanaoendelea kushabikia cheap politics tumeamua kwa makusudi mazima maswala ya nchi ni kama simba na yanga.
tena afadhari Yanga wale wazee inawezekana wanaona mbali wakihisi kule mbele wataporwa timu yao hivyo wanajitahidi kupiga kelele lakini wanakutana na sauti zilezile eti waende TASAF
 
Hata nikisaidia siwezi kuleta stori ya kutoa mguu mmoja wa bandia kama unachofanya,kwanza sio hadhi kwa status na level ya rais kusifika kanunua mguu wa mmoja bandia
Kwani Mheshimiwa Rais ndiye ameleta habari hii hapa jukwaani? Mimi Mwananchi wa kawaida ndiye nimeleta kutokana na kuguswa na uchapakazi wa Rais Samia,moyo wake wa huruma , upendo na utu kwa watu.
 
Kwani Mheshimiwa Rais ndiye ameleta habari hii hapa jukwaani? Mimi Mwananchi wa kawaida ndiye nimeleta kutokana na kuguswa na uchapakazi wa Rais Samia,moyo wake wa huruma , upendo na utu kwa watu.
Umemdhalilisha rais
 
Mwambie mama tunataka mitambo ya nuclear kuzalisha umeme...

Uo mguu akizidi kukua je atakuwa kamwekea bajeti ya kuu apdate uo mguu
Umempa upo wa kutosha kwa sasa. Bwawa la mwalimu Nyerere pekee litatupatia Megawati 2115
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ndugu,usipoteze muda kujibizana na PUNGUANI,mguu wa bandia hata Diwani anao uwezo wa kumsaidia Mwananchi wake,ni kumshushia hadhi Rais kwa jitu zima kuanzisha Uzi mrefu eti kisa Rais kasaidia mguu wa bandia tena wa mtoto
Kama umeumia nenda na wewe ukasaidie tuone kama unaweza na roho lako hilo la kishetani
 
Huwezi kumsifia rais kwa vijimambo vya ajabu ajabu uo ni ushamba
Unasema hivyo kwa sababu yule siyo mtoto wako.lakini angekuwa mtoto wako ungekuwa na uchungu na usingetanua domo lako kuongea ujinga wako huu kama mlevi wa gongo
 
Ndugu,usipoteze muda kujibizana na PUNGUANI,mguu wa bandia hata Diwani anao uwezo wa kumsaidia Mwananchi wake,ni kumshushia hadhi Rais kwa jitu zima kuanzisha Uzi mrefu eti kisa Rais kasaidia mguu wa bandia tena wa mtoto
Huu sio uchawa ni ukunguni kabisa! Wawe wanaangalia na watu wakuwatuma huku
 
Umempa upo wa kutosha kwa sasa. Bwawa la mwalimu Nyerere pekee litatupatia Megawati 2115
Mama anajali sana ndio wananchi. Lakini sisi mtaani tunaitaji ajira huu ulemavu wa ajira sijui atautibu vipi pasipo kukaa na sisi vijana tumwelekeze njia nzuri yakutufanya tukuwe chapu kwa fursa tunazoziona sisi vijana ila zinakazwa na wafanyakazi wake
 
Unasema hivyo kwa sababu yule siyo mtoto wako.lakini angekuwa mtoto wako ungekuwa na uchungu na usingetanua domo lako kuongea ujinga wako huu kama mlevi wa gongo
We utakuwa chizi ata angekuwa wangu sio issue yakushtua na ni sehemu ya Kodi yapoe mambo makubwa yakusifia sio hizi porojo zako za Kila Leo kazi uliyotumwa umeshindwa kufanya umeboronga mjomba
 
jamani umaskin mbayaa sanaa, jamani njaa inatoa utu wetu, njaaa inapelekea uabudu watu msaliti mungu wa kweli, njaa ikizid inahama tumbon inaendaa kuweka makazi kichwani

jamani uchukienj umaskin kwa nguvu zote

Lucas Mwashambwa
 
Rais wetu mpendwa anafanya jitihada na kazi kubwa sana ya kutoa ajira kwa vijana.ndio maana mwaka huu tu ameshatoa kibali cha ajira zaidi ya elfu 42 .ambapo za ualimu zitakuwa karibu elfu 12 huku afya zikiwa takribani elfu kumi na kada zingine nazo zitakuwa za kumwaga.anaendelwa kutoa ajira kila mwaka kwa kadri hali ya uchumi inayoruhusu.lakini pia anaweka mazingira mazuri kwa Secta binafsi kukua ili nayo itoe ajira kwa vijana.pia Secta zinazobeba kundi kubwa la watanzania kama vile kilimo zinaendelea kuboreshwa kuanzia bajeti, pembejeo mpaka soko.
 
Mimi nachukia tu jinsi unavyojibu kisiasa woooi mi nakuacha naenda ivyo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…