brownjosephati
JF-Expert Member
- Jun 7, 2024
- 549
- 674
ChawaaaaWewe mwenyewe tu hapo ulipo unatakiwa kupatiwa msaada wa kimatibabu.huoni kuwa hupo sawa kichwani? Au unajiona upo sawa na binadamu wenzako wenye akili Timamu?[emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ChawaaaaWewe mwenyewe tu hapo ulipo unatakiwa kupatiwa msaada wa kimatibabu.huoni kuwa hupo sawa kichwani? Au unajiona upo sawa na binadamu wenzako wenye akili Timamu?[emoji3][emoji3]
Mimi ni msema kweli na siyo chawa.Chawaaaa
Nafahamu kuandikaHebu jifunze kuandika kwanza kabla ya kuanza kumwaga sifa.
Hebu ,soma ulichoandika , alafu utaona makosa yako . Yako wazi kabisa.Nafahamu kuandika
Naam, wengine wenye uhitaji pia wazingatiwe.Amefanya jambo jema la kiubinadamu.
Rais Samia ni Mama Mwenye Moyo wa Upendo na huruma.Naam, wengine wenye uhitaji pia wazingatiwe.
Ujinga mtupu kila kitu kusifia hata mambo ya wajibu kutekelezwa mnaleta uchawa.Ni kwa kuwa umejawa na upofu wa akili na macho
Na wewe gusa maisha ya watu ili tukusifieUjinga mtupu kila kitu kusifia hata mambo ya wajibu kutekelezwa mnaleta uchawa.
Hivi ule msaada aliutoa kama mwanaccm, au SSH au kama Rais?Kutoa Msaada kunahitaji kuwa Rais? Machadema mna akili za fisi sana
Kwamba hujui kuwa Rais anawajibika kuweka mazingira mazuri ya kikanuni, kisera na kisheria ili Kila raia nchini apate huduma nafuu na bora za matibabu?.kumbuka Mh Rais hawajibika kumtibu kila mtu mwenye ugonjwa hapa nchini.hats Marekani tu kwenyewe hakuna suala la namna hiyo.anachofanya Rais wetu ni huruma na upendo tu alionao Mama yetu kama Mzazi.