Wazazi wa mtoto huyu watakesha wanabubujikwa machozi ya furaha na kumuombea maisha marefu Rais Samia

Wazazi wa mtoto huyu watakesha wanabubujikwa machozi ya furaha na kumuombea maisha marefu Rais Samia

Kutoa Msaada kunahitaji kuwa Rais? Machadema mna akili za fisi sana
Hivi ule msaada aliutoa kama mwanaccm, au SSH au kama Rais?
Usipindishe! Rais ni taasisi... Na kwenye ziara yake ile aliwakutanisha wananchi kama Rais!
Je, hana upeo mkubwa kubaini kuwa huyo mtoto mmoja ni tu miongoni mwa wengi wengine wanashindwa kupata huo unaoita "msaada".
Je, kuna miongozo alitoa kuwasaidia hao wengine?
.kumbuka Mh Rais hawajibika kumtibu kila mtu mwenye ugonjwa hapa nchini.hats Marekani tu kwenyewe hakuna suala la namna hiyo.anachofanya Rais wetu ni huruma na upendo tu alionao Mama yetu kama Mzazi.
Kwamba hujui kuwa Rais anawajibika kuweka mazingira mazuri ya kikanuni, kisera na kisheria ili Kila raia nchini apate huduma nafuu na bora za matibabu?

Kwamba unataka Rais wako awe na huruma na upendo tu kama mzazi - je huo upendo na hiyo huruma inaongozwa na utashi wake binafsi au ni kete ya kisiasa?

Je, wagonjwa na wenye mahitaji watolewe wakajipange kwenye ziara zake kusubiria huruma na upendo wake?

Huo mfano wa Marekani ndugu unadanganya... Na inaonesha wewe chawapromax... Kule Marekani kuna Affordable Care Act (ACA) au Obamacare. Kaisome vizuri... Ndo upendo na huruma ambayo kiongozi mwenye dhamiri njema anaweza kufanya kwa raia wake!

Huo huruma na upendo kwa mtu mmoja mmoja ni UPENDELEO na kete ya kisiasa!
 
Back
Top Bottom