Mohammed wa 5
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,306
- 3,228
Ww unaakili za kitotoMaisha Yana Mambo mengi Sana
Mimi ni kijana wa kiume Nina miaka 29 nakaribia 30 soon,mtoto wa pili Kati ya watoto watano nimemaliza chuo mwaka 2019u wakuu nipate muongozo kidogo au nifanye Nini nyumbani wanijua kumbe Niko vizuri
🤣🤣🤣mama yangu ana wasimulia wamama wezake ana wasiwasi na Mimi labda Nina matatizo au labda sio rijali na anataka atafute wanawake awape hela ili wanitongoze
Hakika ruben kafanyaje tena?Lazima wawe serious na wewe maana hatari zimekuwa nyingi... Rejea kwa hakika Reuben, afande na wengine.
Bahati mbaya ukifa huna mtoto wanaenda kukuzika mwisho wa shamba alafu kabla hujazikwa wanakuchomekea mkaa wa moto mekunduni uende na laana zako
For sure! Ukute mtoa mada alipitia maisha ya bweni so wana wasiwasi huenda kashakua MENDE.Itakuwa waliona video ya afande sasa hivi wazazi wana hofu na watoto wa kiume
[emoji23][emoji23][emoji23]Anza kwa kujitambulisha kuwa wewe ni mwanaume na sio kijana wa kiume.
😃😃Itakuwa waliona video ya afande sasa hivi wazazi wana hofu na watoto wa kiume
Sasa hivi ukipata mtoto anapiga show freshi mshukuru munguMaisha Yana Mambo mengi Sana. Mimi ni kijana wa kiume Nina miaka 29 nakaribia 30 soon,mtoto wa pili Kati ya watoto watano nimemaliza chuo mwaka 2019 saiz npo mtaani napiga harakati zangu mungu anasaidia maisha yanasonga JAPO familia yetu inajiweza kipesa sitegemei hela za nyumbani... situmii kilevi chochote Wala sio mtu wa wanawake.
Shida yangu ni wazazi hasa mama yangu amekuwa mtu kunitilia mashaka kisa ajawahi kusikia Nina mwanamke Wala tokea nasoma sijawahi kuleta kesi nyumbani kuhusu wanawake. Mama yangu ni mama anayependa watoto sababu amemlea mtoto wa Kaka first born mpaka amekuna na watoto wa majirani washamzoea na wanamuita Bibi.
Juzi niliitwa kwenye kikao nyumbani wanataka nilete mwanamke nimtambulishe au kama kuna sehemu nina mtoto nimpeleke nyumbani wamjue na waishi nae pale labda wana wasiwasi hapati malezi bora uko halipo..wanasema umri huu ndo mzuri wakupata mtoto kwa sababu damu inachemka na nitapata watoto wenye akiri na afya bora niliwajibu kwa Sasa Sina mwanamke wala mtoto (nilidanganya) wakati npo chuo nilikuwa na mahusiano binti kutoka Moshi na nilimpaga ujauzito ana mtoto wa kike naishia kumuona kwenye picha tu status mana mama yake ataki niwe karibu na mtoto Wala haitaji matunzo yangu tuligombana na nilicheat akajua nimejaribu kumuomba samahani hataki kuelewa Nika move on. Ipo siku atakuja kunitafuta mwanangu sijamtelekeza she love so much more my daughter N♥️
Juzi wakati nipo mtaani nilisikia umbea sijui tetesi kwenye vikao vya wamama mama yangu ana wasimulia wamama wezake ana wasiwasi na Mimi labda Nina matatizo au labda sio rijali na anataka atafute wanawake awape hela ili wanitongoze afu wanipime Kama Sina tatizo vijana wezangu niliocheza nao mtaani wameona na wengine wana watoto
Wakuu mimi ni muanga wa MAPENZI nimepigwa matukio sana kila mwanamke nayekutananae nahisi ni walewale JAPO wakujipozea machungu yupo Ila sio wife material na sina mpango wakumpeleka home. Hii hali inaniumiza sana nifanyeje au niwaeleza nyumbani nina mtoto sehemu nahisi maswali yatakuwa mengi kwanini muda wote sikusema.
Ushauri wenu na mawazo yenu muhimu wakuu nipate muongozo kidogo au nifanye nini nyumbani wanijua kumbe niko vizuri
Peleka moto dogo acha kulemba zaeni muijaxe dunia,naungana na mama yako mwenye wasiwasi na weweMaisha Yana Mambo mengi Sana. Mimi ni kijana wa kiume Nina miaka 29 nakaribia 30 soon,mtoto wa pili Kati ya watoto watano nimemaliza chuo mwaka 2019 saiz npo mtaani napiga harakati zangu mungu anasaidia maisha yanasonga JAPO familia yetu inajiweza kipesa sitegemei hela za nyumbani... situmii kilevi chochote Wala sio mtu wa wanawake.