Wazazi wanataka mjukuu wanashangaa hawajawahi kuniona na mwanamke

Wazazi wanataka mjukuu wanashangaa hawajawahi kuniona na mwanamke

Maisha Yana Mambo mengi Sana. Mimi ni kijana wa kiume Nina miaka 29 nakaribia 30 soon,mtoto wa pili Kati ya watoto watano nimemaliza chuo mwaka 2019 saiz npo mtaani napiga harakati zangu mungu anasaidia maisha yanasonga JAPO familia yetu inajiweza kipesa sitegemei hela za nyumbani... situmii kilevi chochote Wala sio mtu wa wanawake.

Shida yangu ni wazazi hasa mama yangu amekuwa mtu kunitilia mashaka kisa ajawahi kusikia Nina mwanamke Wala tokea nasoma sijawahi kuleta kesi nyumbani kuhusu wanawake. Mama yangu ni mama anayependa watoto sababu amemlea mtoto wa Kaka first born mpaka amekuna na watoto wa majirani washamzoea na wanamuita Bibi.

Juzi niliitwa kwenye kikao nyumbani wanataka nilete mwanamke nimtambulishe au kama kuna sehemu nina mtoto nimpeleke nyumbani wamjue na waishi nae pale labda wana wasiwasi hapati malezi bora uko halipo..wanasema umri huu ndo mzuri wakupata mtoto kwa sababu damu inachemka na nitapata watoto wenye akiri na afya bora niliwajibu kwa Sasa Sina mwanamke wala mtoto (nilidanganya) wakati npo chuo nilikuwa na mahusiano binti kutoka Moshi na nilimpaga ujauzito ana mtoto wa kike naishia kumuona kwenye picha tu status mana mama yake ataki niwe karibu na mtoto Wala haitaji matunzo yangu tuligombana na nilicheat akajua nimejaribu kumuomba samahani hataki kuelewa Nika move on. Ipo siku atakuja kunitafuta mwanangu sijamtelekeza she love so much more my daughter N♥️

Juzi wakati nipo mtaani nilisikia umbea sijui tetesi kwenye vikao vya wamama mama yangu ana wasimulia wamama wezake ana wasiwasi na Mimi labda Nina matatizo au labda sio rijali na anataka atafute wanawake awape hela ili wanitongoze afu wanipime Kama Sina tatizo vijana wezangu niliocheza nao mtaani wameona na wengine wana watoto

Wakuu mimi ni muanga wa MAPENZI nimepigwa matukio sana kila mwanamke nayekutananae nahisi ni walewale JAPO wakujipozea machungu yupo Ila sio wife material na sina mpango wakumpeleka home. Hii hali inaniumiza sana nifanyeje au niwaeleza nyumbani nina mtoto sehemu nahisi maswali yatakuwa mengi kwanini muda wote sikusema.

Ushauri wenu na mawazo yenu muhimu wakuu nipate muongozo kidogo au nifanye nini nyumbani wanijua kumbe niko vizuri
Hapo kwenye bold panaonesha wazi una shida kubwa sana kisaikolojia ai kiakili. Unawadanganya wazazi wako kwa faida ya nani? au nawe ni walewale wa upinde wa mvua?
 
Sio siri mnakuwaga vichomi sana.
Vipi Dr. Wako hajambo?
Nyie sio vichomi??? Dr gani tena.....nishapigwa chini jamani nipo beach nakula upepo wa bahari, naumwagilia moyo mziki kwa mbali.... jimbo lipo wazi 🎶🎶🎶😁
 
Nyie sio vichomi??? Dr gani tena.....nishapigwa chini jamani nipo beach nakula upepo wa bahari, naumwagilia moyo mziki kwa mbali.... jimbo lipo wazi 🎶🎶🎶😁
Si nilikwambia nasubiria loose ball?
Mbona hukusema?😂
 
Maisha Yana Mambo mengi Sana. Mimi ni kijana wa kiume Nina miaka 29 nakaribia 30 soon,mtoto wa pili Kati ya watoto watano nimemaliza chuo mwaka 2019 saiz npo mtaani napiga harakati zangu mungu anasaidia maisha yanasonga JAPO familia yetu inajiweza kipesa sitegemei hela za nyumbani... situmii kilevi chochote Wala sio mtu wa wanawake.

Shida yangu ni wazazi hasa mama yangu amekuwa mtu kunitilia mashaka kisa ajawahi kusikia Nina mwanamke Wala tokea nasoma sijawahi kuleta kesi nyumbani kuhusu wanawake. Mama yangu ni mama anayependa watoto sababu amemlea mtoto wa Kaka first born mpaka amekuna na watoto wa majirani washamzoea na wanamuita Bibi.

Juzi niliitwa kwenye kikao nyumbani wanataka nilete mwanamke nimtambulishe au kama kuna sehemu nina mtoto nimpeleke nyumbani wamjue na waishi nae pale labda wana wasiwasi hapati malezi bora uko halipo..wanasema umri huu ndo mzuri wakupata mtoto kwa sababu damu inachemka na nitapata watoto wenye akiri na afya bora niliwajibu kwa Sasa Sina mwanamke wala mtoto (nilidanganya) wakati npo chuo nilikuwa na mahusiano binti kutoka Moshi na nilimpaga ujauzito ana mtoto wa kike naishia kumuona kwenye picha tu status mana mama yake ataki niwe karibu na mtoto Wala haitaji matunzo yangu tuligombana na nilicheat akajua nimejaribu kumuomba samahani hataki kuelewa Nika move on. Ipo siku atakuja kunitafuta mwanangu sijamtelekeza she love so much more my daughter N[emoji3531]

Juzi wakati nipo mtaani nilisikia umbea sijui tetesi kwenye vikao vya wamama mama yangu ana wasimulia wamama wezake ana wasiwasi na Mimi labda Nina matatizo au labda sio rijali na anataka atafute wanawake awape hela ili wanitongoze afu wanipime Kama Sina tatizo vijana wezangu niliocheza nao mtaani wameona na wengine wana watoto

Wakuu mimi ni muanga wa MAPENZI nimepigwa matukio sana kila mwanamke nayekutananae nahisi ni walewale JAPO wakujipozea machungu yupo Ila sio wife material na sina mpango wakumpeleka home. Hii hali inaniumiza sana nifanyeje au niwaeleza nyumbani nina mtoto sehemu nahisi maswali yatakuwa mengi kwanini muda wote sikusema.

Ushauri wenu na mawazo yenu muhimu wakuu nipate muongozo kidogo au nifanye nini nyumbani wanijua kumbe niko vizuri
Lile tatizo lako la kutokuwa na hamu ya kufanya mapenzi limepona??
 
Lazima wawe serious na wewe maana hatari zimekuwa nyingi... Rejea kwa hakika Reuben, afande na wengine.

Bahati mbaya ukifa huna mtoto wanaenda kukuzika mwisho wa shamba alafu kabla hujazikwa wanakuchomekea mkaa wa moto mekunduni uende na laana zako
😣😣😣😣
 
wazazi wako sahihi,peleka mkwe kwenu achana na uhuni wa mtaani utaishia pabaya afu damu haisuswi hata siku moja,uwezo wa kutunza mtoto unao na wazazi wako wanajiweza kwanini unamnyima binti yako upendo wa kutoka upande wa kwenu???hata kama mmegombana na mama yake lakini mnampa shida mtoto jitafakari
Nimekupata mkuu nitalifanyia kazi
 
Back
Top Bottom