Mohammed wa 5
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,215
- 3,035
- Thread starter
- #61
Niliogopa maswali mengi afu msichana nilyezaa nae tuna ugomvi wa mudaWaambie kuwa una mtoto mahali,sa kwanini ulidanganya???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliogopa maswali mengi afu msichana nilyezaa nae tuna ugomvi wa mudaWaambie kuwa una mtoto mahali,sa kwanini ulidanganya???
Mimi mwanaumeAnza kwa kujitambulisha kuwa wewe ni mwanaume na sio kijana wa kiume.
Nimeishi Sana bweni primary mpaka 4m6 lakini hayajaniasiri chochoteFor sure! Ukute mtoa mada alipitia maisha ya bweni so wana wasiwasi huenda kashakua MENDE.
Mkuu npo vizuri Tena napeleka Moto vizuri una Dada uniite shemejAngalia usije wapelekea dume lenzako kwamba linataka kukuoa, nchi imekumbwa na vijana wa.ajabu sana
Familia hazifanani mkuu Kila sehemu Wana malezi yaoNingekuwa na wazazi kama wako haki ya Nan ninge enjoy maisha ....
Sisi huwezi acha mtoto nyumbani et mama yangu atalea atakuadabisha Kwa maneno mpaka utajiona mkosefu na utachukua majukumu ya kulea mwenyewe ..." Mama anakuchana live ,yaani unashinda baa unahangaika na wamama huko unataka nikulelee watoto ,unafikili hapa nyumbani ni UN tunatoa misaada ya kulea watoto wa wanawake wa huko duniani ...[emoji23][emoji23]"
Mkuu waache waje 😁Tulia mkuu subiri uletewe hao waliopwa hela pelekea moto wote tena kisawa sawa uhondo ni pale umeletewa watano na wote wakapata mimba hautalazimishwa kumuoa mmoja wapo
KabisaSasa hivi ukipata mtoto anapiga show freshi mshukuru mungu
Mkuu ngoja tuijaze duniaPeleka moto dogo acha kulemba zaeni muijaxe dunia,naungana na mama yako mwenye wasiwasi na wewe
Daah mkuu nitalifanyia kazi ilo familia muhimu machalii wamjue Bibi yao mapema wasije simuliwa tuMkuu, maisha ya mwanadamu ni mafupi na yenye mahangaiko, sema ukweli kwa mama kuwa una mtoto.
Muda huu uliobaki wa mama kuwepo duniani, jitahidi akutane na mtoto wako, hawa mama zetu wanabaraka sana, Life is too short to hide something big like that, u gonna regret when it’s too late.
(Ipo siku atakuja kunitafuta mwanangu sijamtelekeza she love so much more my daughter N♥️)
👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆
Ulikusudia kitu gani hapo juu mkuu?
Mbona kiswahili ni kitamu na ni rafiki yetu mpendwa...kuliko Slay queen a.k.a kimalikia asiyetupenda
Lugha gongana mkuu(Ipo siku atakuja kunitafuta mwanangu sijamtelekeza she love so much more my daughter N♥️)
👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆
Ulikusudia kitu gani hapo juu mkuu?
Mbona kiswahili ni kitamu na ni rafiki yetu mpendwa...kuliko Slay queen a.k.a kimalikia asiyetupenda?
Mkuu soon bimkubwa atafurahi inshallah kikubwa uzimaAsisubiri mama yake aende njia ya ulimwengu...kabla hajamwona mjukuu wake
Ya tangawiziHii ni chai
Lina ukweri Ila kwangu Niko vizuri ni rijali kabisaWatoto wa kiume/ wanaume mmefikia mahala ambapo hamuaminiki kabisa..... wanaume wengi sahivi ni wake za watu.
Simshangai mama ako kukutilia shaka
Urijali ndio sio maneno tu, onesha nyumbani unaempeleka motoLina ukweri Ila kwangu Niko vizuri ni rijali kabisa
Mkuu nimekupataChangamka aisee,unawapa presha ,mzee anafikiri umesha left group.Nenda makanisa haya ya watu wananywesha korie sema unatafuta mchumba,mchungaji anawaita unajichagulia.
SafiMkuu soon bimkubwa atafurahi inshallah kikubwa uzima
Mkuu siunajua wazazi wetu maswali mengi Ila Kuna siku nitawaambia ukweriHapo kwenye bold panaonesha wazi una shida kubwa sana kisaikolojia ai kiakili. Unawadanganya wazazi wako kwa faida ya nani? au nawe ni walewale wa upinde wa mvua?