Wazazi wanataka mjukuu wanashangaa hawajawahi kuniona na mwanamke

Wazazi wanataka mjukuu wanashangaa hawajawahi kuniona na mwanamke

(Ipo siku atakuja kunitafuta mwanangu sijamtelekeza she love so much more my daughter Nβ™₯️)

πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†
Ulikusudia kitu gani hapo juu mkuu?
Mbona kiswahili ni kitamu na ni rafiki yetu mpendwa...kuliko Slay queen a.k.a kimalikia asiyetupenda?
 
Mkuu, maisha ya mwanadamu ni mafupi na yenye mahangaiko, sema ukweli kwa mama kuwa una mtoto.

Muda huu uliobaki wa mama kuwepo duniani, jitahidi akutane na mtoto wako, hawa mama zetu wanabaraka sana, Life is too short to hide something big like that, u gonna regret when it’s too late.
Asisubiri mama yake aende njia ya ulimwengu...kabla hajamwona mjukuu wake
 
(Ipo siku atakuja kunitafuta mwanangu sijamtelekeza she love so much more my daughter Nβ™₯️)

πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†
Ulikusudia kitu gani hapo juu mkuu?
Mbona kiswahili ni kitamu na ni rafiki yetu mpendwa...kuliko Slay queen a.k.a kimalikia asiyetupenda?
Kwakweli nimepitia wakati mgumu sana kuichambua hiyo sentence lakini nimeambulia kapa
 
Angalia usije wapelekea dume lenzako kwamba linataka kukuoa, nchi imekumbwa na vijana wa.ajabu sana
Jesuu murife dont run murife keep running loooh asee parakwingi πŸ˜ΆπŸ˜ΆπŸ˜ΆπŸ˜ΆπŸ˜ΆπŸ˜ΆπŸ˜ΆπŸ˜ΆπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Changamka aisee,unawapa presha ,mzee anafikiri umesha left group.Nenda makanisa haya ya watu wananywesha korie sema unatafuta mchumba,mchungaji anawaita unajichagulia.
 
Yeah kuna jambo haliko sawa, hizi sababu za kwamba wanawake hawaeleweki sijui kupigwa matukio bla bla hazinaga ishu......hivi vijana wanadhani dingi na maza wametuzaa wametulea hadi tumekua watu wazima kwani wao hawakupitia hizo mbambamba?
Mwanzoni nanyie mnakuaga na dramaz sana sema mkishawezewa mnatulia kama vile sio ninyi πŸ˜…πŸ˜…
 
Back
Top Bottom