Wazazi wanataka mjukuu wanashangaa hawajawahi kuniona na mwanamke

(Ipo siku atakuja kunitafuta mwanangu sijamtelekeza she love so much more my daughter Nβ™₯️)

πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†
Ulikusudia kitu gani hapo juu mkuu?
Mbona kiswahili ni kitamu na ni rafiki yetu mpendwa...kuliko Slay queen a.k.a kimalikia asiyetupenda?
 
Asisubiri mama yake aende njia ya ulimwengu...kabla hajamwona mjukuu wake
 
Kwakweli nimepitia wakati mgumu sana kuichambua hiyo sentence lakini nimeambulia kapa
 
Angalia usije wapelekea dume lenzako kwamba linataka kukuoa, nchi imekumbwa na vijana wa.ajabu sana
Jesuu murife dont run murife keep running loooh asee parakwingi πŸ˜ΆπŸ˜ΆπŸ˜ΆπŸ˜ΆπŸ˜ΆπŸ˜ΆπŸ˜ΆπŸ˜ΆπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Changamka aisee,unawapa presha ,mzee anafikiri umesha left group.Nenda makanisa haya ya watu wananywesha korie sema unatafuta mchumba,mchungaji anawaita unajichagulia.
 
Yeah kuna jambo haliko sawa, hizi sababu za kwamba wanawake hawaeleweki sijui kupigwa matukio bla bla hazinaga ishu......hivi vijana wanadhani dingi na maza wametuzaa wametulea hadi tumekua watu wazima kwani wao hawakupitia hizo mbambamba?
Mwanzoni nanyie mnakuaga na dramaz sana sema mkishawezewa mnatulia kama vile sio ninyi πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…