Wazazi wanataka mjukuu wanashangaa hawajawahi kuniona na mwanamke

Mkuu nimekupata nitalifanyia kazi
 
Urijali ndio sio maneno tu, onesha nyumbani unaempeleka moto
Mkuu nikiwa mahusiano yanakuwa ya Siri Sana ata rafiki zangu wengine hawajui girl nayetoka naye Niko hivo wasiwasi lazima sababu najificha sana
 
Ishi unavyoona sawa ukifuata pressure za wazee ,sijui majirani ,marafiki hutoboi.Mimi nalazimishwa nifyatue tu eti ukoo wetu mdogo.Huyu niliyenae tu ananitoa mvi.
Fact mkuu
 
Reactions: EEX
Watoto wa kiume/ wanaume mmefikia mahala ambapo hamuaminiki kabisa..... wanaume wengi sahivi ni wake za watu.
Simshangai mama ako kukutilia shaka
Aisee ni kweli kabisa kuna mwana nimeambiwa anachezea mjomba jegejo mpaka kichwa kinauma halafu huyo anayemtindua ndio humfikirii kabisaa.Naendelea kujiridhisha ila hali mbaya aisee.
 
Mkuu nikiwa mahusiano yanakuwa ya Siri Sana ata rafiki zangu wengine hawajui girl nayetoka naye Niko hivo wasiwasi lazima sababu najificha sana
Kwanini ujifiche? Unaficha nini?
 
Reactions: EEX
Aisee ni kweli kabisa kuna mwana nimeambiwa anachezea mjomba jegejo mpaka kichwa kinauma halafu huyo anayemtindua ndio humfikirii kabisaa.Naendelea kujiridhisha ila hali mbaya aisee.
Siku hizi simu za wanawake hazishtui....ila simu za wanaume ndio zinashtua #ushoganimwingi
 
Siku hizi simu za wanawake hazishtui....ila simu za wanaume ndio zinashtua #ushoganimwingi
Nishai sana halafu hio maskani ya jamaa ndio mara kibao tunaenda kuvuta muda.Jamaa ananistiza yule mwana anapigwa pipe na anayempiga fulani mbona kitamboo tu.
 
Ktk watu wanaoangaliw owa jicho la KUJIVUNIA ni Mimi.

Wazee wangu wanajua kbs hili toto lao linapeleka moto si kwa Watu baki tu.. Hata ndugu wa mbali mbali wanaukwea mjengo.

Vikao vya nidham nishakalishwa sana.

Kijana piga Mashine Wazee wafurahi.
 
Lazima wawe serious na wewe maana hatari zimekuwa nyingi... Rejea kwa hakika Reuben, afande na wengine.

Bahati mbaya ukifa huna mtoto wanaenda kukuzika mwisho wa shamba alafu kabla hujazikwa wanakuchomekea mkaa wa moto mekunduni uende na laana zako
[emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…