Wazazi wanataka nijichanganye, wanahisi kuna jambo linanitatiza

Okay, je wazazi wako ni watu wa aina gani yani ni watu walioshika sana dini, ni watu wa mitoko ya week end au ni watu wa aje?
Ni watu wa kawaida tu, hawajashika sana dini. Mama muislam baba ni mkristo na wote sio wafia dini. Muda mwingi wapo aidha kazini au nyumbani. Sio watu wa kutoka out au nini
Weekend wanakesha nyumbani na familia
 
Daah story inahuzunisha ila nakusihi usije ukajaribu kuwa shog* yaan ukaruhusu uvuliwe ubingwa. Kingine me nawaelewa hofu ya wazazi wako na cha kukusahuri emu anza intensive mazoez ya kegel waweza hata kuingia playstore wakakurecommend app ya kukuguide. Pia, tumia vyakula kama tende,karanga,korosho na mapweza. Na mwisho usisahau kulala kwa wakati.
 
Siwezi kuwa shoga hata iweje. Ahsante kwa ushauri
 
Nguvu za kiume kwishine
 
Ni watu wa kawaida tu, hawajashika sana dini. Mama muislam baba ni mkristo na wote sio wafia dini. Muda mwingi wapo aidha kazini au nyumbani. Sio watu wa kutoka out au nini
Weekend wanakesha nyumbani na familia
Okay, wazazi tunapenda wanetu wasome boarding ila hii kitu inauwa sana socialisation kwa ndugu wa familia wewe hapo mnyonge cause watu ulionao sasa si wale ulizoea kuwa nao siku zote so ile feeling ya kuchangamka nk huna jambo ni ndugu zako nk ila hiyo mood huna hii imetokana na watu ulikuwa nao shule pengine ndio mtondo wao wa maisha so

MY TAKE
Kama wazazi wanauwezo wakutumia elfu hamsini usiku mmoja hawana mawazo tafuta event yoyote itakayotokea maeneo yenu wambie baba mama ebu leo twendeni out au kama upo mji ambao kuna sehemu week end familia zinatoka out waombe uende

WAZAZI WANA HOFU PENGINE USHALEFT GROUP CAUSE WATOTO WAKIUME MDA WOTE NI WOZA WOZA
 
Nguvu za kiume kwishine
Mzee aliniambia kuwa madhara ya punyeto yanatibika kwamba nisiwe na wasiwasi
Hadi sasa erection zangu zipo weak ila nina matumaini ya kupata tiba. Nitajitahidi kutafuta tiba ikishindikana kabisa sioni haja ya kuishi. Na hilo suala la kupungua nguvu za kiume kisa punyeto linaniumiza sana. Nikishindwa kujitibu naweza kuamua nijiue tu kuliko kuishi na msongo wa mawazo. Kwanza siku hizi za mwisho kiukweli sioni hata kama maisha ni mazuri kwangu. Tena watu wakiniongelesha ndio wanazidi kunikera tu
 
Duh
 
Leo unaona wanakukera ila siku ambapo hawatakuwepo hapa duniani utaona kwamba walikuwa sahihi na itakuwa ishakuwa too late. Fanya unavyotaka maana watoto wa siku hizi hamshauriki.
 
Kakudanganya ..sema ujachelewa ukifikisha 25 ujatibu tatizo basi ni forever ...mvulana unatakiwa kuanza sex na wasichana ukiwa darasa la 7 au form 1 ukichelewa sana form 2 au 3 zaidi ya hapo mambo yatakuwa mabaya
 
Vyuo vyote vinafunguliwa tarehe 03/11/2025 so una miezi miwili ya kupambana na Hali Yako..
 
Welcome to the hood, INTROVERT! Waambie wazazi wako kwamba uko sawa kabisa na hakuna tatizo Lolote
Afu asichokijua dogo anaomba ushauri kwa maintrovert wenzie hakuna watakachomsaidia maana nao wapo hvyo hvyo

Sijajua ni kwanini lakin asilimia 70 ya watumiaji wa mtandao huu ni ma-INTROVERT
 
Kakudanganya ..sema ujachelewa ukifikisha 25 ujatibu tatizo basi ni forever ...mvulana unatakiwa kuanza sex na wasichana ukiwa darasa la 7 au form 1 ukichelewa sana form 2 au 3 zaidi ya hapo mambo yatakuwa mabaya
Dah... this world is really not for me
 
Ni uelewa mdogo tu wa wazazi kuwa kuna watu wameumbwa hivyo. Ilinipa taabu pia kujichanganya na watu chuo enzi hizo maana huwa nachelewa sana kuzoeana na watu wapya.
Hata zile group discussions nilikuwa naona wananipigia kelele tu maana nikiwa kwenye hizo group huwa sielewi zaidi ya kuona kero tu tofauti na nikijisomea mwenyewe.
Ilifikia hatua hata kazi nyingi za group nilikuwa naamua tu nizifanye mwenyewe na kuwatumia members kwenye emails zao kama wana marekebisho waweke inputs zao ila sio kuwekana kwenye makundi na kupotezeana muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…