didy muhenga
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 2,104
- 3,594
njoo PM mdogo wangu.Mzee aliniambia kuwa madhara ya punyeto yanatibika kwamba nisiwe na wasiwasi
Hadi sasa erection zangu zipo weak ila nina matumaini ya kupata tiba. Nitajitahidi kutafuta tiba ikishindikana kabisa sioni haja ya kuishi. Na hilo suala la kupungua nguvu za kiume kisa punyeto linaniumiza sana. Nikishindwa kujitibu naweza kuamua nijiue tu kuliko kuishi na msongo wa mawazo. Kwanza siku hizi za mwisho kiukweli sioni hata kama maisha ni mazuri kwangu. Tena watu wakiniongelesha ndio wanazidi kunikera tu
Mpiga nyeto wewe..Mimi ni kijana wa kiume miaka 19 nimemaliza form 6 na kuapply chuo nasubiri majibu sasa.
Lakini likizo hii imekuwa chungu kwangu maana wazazi kila siku wananisema tu.
Wananilazimisha nijichanganye na watu halafu binafsi sipendi. Napenda niwe peke yangu na muda mwingi nipo chumbani kwangu
Nakereka sana, wazazi wakirudi toka kazini wakifika tu nyumbani kitu cha kwanza ni kuniita na kunilazimisha kukaa sebuleni na familia. Mara nyingi hata nikikaa sebuleni wananiona nimekaa sina furaha, wanaanza kuniuluza mbona huongei? Mimi sina cha kuwajibu sijui sababu, wao wanalalamika kwa sababu wanadai zamani sikuwa hivi.
Kuna maneno yao wanaongea sometimes yananiumiza, mfano wananiongelea wanasema "Huyu mtoto sijui tumfanyeje, tumetumia kila mbinu tumeshindwa. Hivi maisha yako baadaye utaishije ikiwa hujichanganyi na watu?". Wakiniambia hivi huwa nakaa tu kimya ila moyoni huwa nawajibu "kwa nini mnawaza kuhusu maisha yangu ya mbeleni, si mniache tu nitajua mwenyewe"
Licha ya wao kujua kuwa mada yao ya kunilazimisha nijichanganye na watu siipendi lakini hawachoki kuianzisha wakikaa na mimi, kila siki wananikasirisha na hii mada. Sometimes wanazidi hadi nawajibu vibaya kwa hasira, halafu najishtukia kuwa nimekosea kuwajibu hivyo. Naonekana sina maadili ila ukweli ni kwamba wao ndio wananikasirisha
Hata sasahivi naandika hivi ila wametoka kuniita na kuniambia nikae sebuleni. Nimekaa nao dakika chache tu nikanyanyuka nimerudi zangu chumbani, sijisikii vyema kukaa na watu wengi.
Natamani muda wa chuo ufike niende chuo maana maeneo kama shuleni watu hawaniulizi sana kwa nini najitenga. Muda mwingi hawaongei na mimi na hivyo ndio nilikuwa najisikia amani
Kwani upi ni uamuzi wa busara?
Nifuate furaha yangu, niendelee kukaa peke yangu.. au
Nijichanganye na watu kufurahisha wazazi, wakati mimi moyoni sipendi?
Utakuja kufa/kujiua kwa depression..... Hlf hutaki wazazi wapate hofu kuhusu future yako, je wakikuacha utawezana?Mimi ni kijana wa kiume miaka 19 nimemaliza form 6 na kuapply chuo nasubiri majibu sasa.
Lakini likizo hii imekuwa chungu kwangu maana wazazi kila siku wananisema tu.
Wananilazimisha nijichanganye na watu halafu binafsi sipendi. Napenda niwe peke yangu na muda mwingi nipo chumbani kwangu
Nakereka sana, wazazi wakirudi toka kazini wakifika tu nyumbani kitu cha kwanza ni kuniita na kunilazimisha kukaa sebuleni na familia. Mara nyingi hata nikikaa sebuleni wananiona nimekaa sina furaha, wanaanza kuniuluza mbona huongei? Mimi sina cha kuwajibu sijui sababu, wao wanalalamika kwa sababu wanadai zamani sikuwa hivi.
Kuna maneno yao wanaongea sometimes yananiumiza, mfano wananiongelea wanasema "Huyu mtoto sijui tumfanyeje, tumetumia kila mbinu tumeshindwa. Hivi maisha yako baadaye utaishije ikiwa hujichanganyi na watu?". Wakiniambia hivi huwa nakaa tu kimya ila moyoni huwa nawajibu "kwa nini mnawaza kuhusu maisha yangu ya mbeleni, si mniache tu nitajua mwenyewe"
Licha ya wao kujua kuwa mada yao ya kunilazimisha nijichanganye na watu siipendi lakini hawachoki kuianzisha wakikaa na mimi, kila siki wananikasirisha na hii mada. Sometimes wanazidi hadi nawajibu vibaya kwa hasira, halafu najishtukia kuwa nimekosea kuwajibu hivyo. Naonekana sina maadili ila ukweli ni kwamba wao ndio wananikasirisha
Hata sasahivi naandika hivi ila wametoka kuniita na kuniambia nikae sebuleni. Nimekaa nao dakika chache tu nikanyanyuka nimerudi zangu chumbani, sijisikii vyema kukaa na watu wengi.
Natamani muda wa chuo ufike niende chuo maana maeneo kama shuleni watu hawaniulizi sana kwa nini najitenga. Muda mwingi hawaongei na mimi na hivyo ndio nilikuwa najisikia amani
Kwani upi ni uamuzi wa busara?
Nifuate furaha yangu, niendelee kukaa peke yangu.. au
Nijichanganye na watu kufurahisha wazazi, wakati mimi moyoni sipendi?
Hii dawa yake ni lombalomba yaani faki Mayala ka.a huna akili , Mana lombo yako itakuwa inafanya tizi la kufa pia hii ishu Iko kisaikilojiaToo late, nilisoma uboizini. Nimekula nyeto sana, hadi nikapoteza hisia na mademu.
Nimekaa nalo moyoni nimeshindwa nikamwambia mzee wangu kwamba siku hizi erection zangu hazipo vizuri kwa sababu ya masturbation. Ikabidi tutafute dawa, nikapata Ginsomin ambazo dokta alisema zitarudisha erection yangu vizuri
Well, hazijafanya kazi hizo dawa, so now nasubiria niende University maana huku nilipo hospitali kubwa kubwa hakuna. Nataka nikienda kusoma chuo kwenye mji mkubwa nitaenda hospitali kubwa. Maybe nitakutana na wataalamu wa kunisaidia
Ila suala la nyeto halihusiani kabisa na mimi kutojichanganya. Nimeanza kuacha kujichanganya kabla hata sijaijua nyeto
Wewe ni mpumbavu kweliLeo unaona wanakukera ila siku ambapo hawatakuwepo hapa duniani utaona kwamba walikuwa sahihi na itakuwa ishakuwa too late. Fanya unavyotaka maana watoto wa siku hizi hamshauriki.
AsanteWewe ni mpumbavu kweli
Ahaaa aaaaa kwahiyo ni sahihi kumpangia mtu namna ya kuishi ? Kisa umemzaa ?Leo unaona wanakukera ila siku ambapo hawatakuwepo hapa duniani utaona kwamba walikuwa sahihi na itakuwa ishakuwa too late. Fanya unavyotaka maana watoto wa siku hizi hamshauriki.
Basi tatizo lako ni hii nyeto. Kusoma uboizini sio sababu ya wewe kula nyeto. Kukaa ndani bila hata kwenda sebuleni ni tatizo kubwa. Ungesema unashinda tu maeneo ya nyumbani ningekuelewa na sio kushinda tu chumbani.Too late, nilisoma uboizini. Nimekula nyeto sana, hadi nikapoteza hisia na mademu.
Nimekaa nalo moyoni nimeshindwa nikamwambia mzee wangu kwamba siku hizi erection zangu hazipo vizuri kwa sababu ya masturbation. Ikabidi tutafute dawa, nikapata Ginsomin ambazo dokta alisema zitarudisha erection yangu vizuri
Well, hazijafanya kazi hizo dawa, so now nasubiria niende University maana huku nilipo hospitali kubwa kubwa hakuna. Nataka nikienda kusoma chuo kwenye mji mkubwa nitaenda hospitali kubwa. Maybe nitakutana na wataalamu wa kunisaidia
Ila suala la nyeto halihusiani kabisa na mimi kutojichanganya. Nimeanza kuacha kujichanganya kabla hata sijaijua nyeto
Wewe mpuuzi hujui kuwa malezi ya wazazi ndo mwongozo mkuu kwenye maisha ya mtu?Ahaaa aaaaa kwahiyo ni sahihi kumpangia mtu namna ya kuishi ? Kisa umemzaa ?
Kwani unataka kujiuwa..!!??Mimi ni kijana wa kiume miaka 19 nimemaliza form 6 na kuapply chuo nasubiri majibu sasa.
Lakini likizo hii imekuwa chungu kwangu maana wazazi kila siku wananisema tu.
Wananilazimisha nijichanganye na watu halafu binafsi sipendi. Napenda niwe peke yangu na muda mwingi nipo chumbani kwangu
Nakereka sana, wazazi wakirudi toka kazini wakifika tu nyumbani kitu cha kwanza ni kuniita na kunilazimisha kukaa sebuleni na familia. Mara nyingi hata nikikaa sebuleni wananiona nimekaa sina furaha, wanaanza kuniuluza mbona huongei? Mimi sina cha kuwajibu sijui sababu, wao wanalalamika kwa sababu wanadai zamani sikuwa hivi.
Kuna maneno yao wanaongea sometimes yananiumiza, mfano wananiongelea wanasema "Huyu mtoto sijui tumfanyeje, tumetumia kila mbinu tumeshindwa. Hivi maisha yako baadaye utaishije ikiwa hujichanganyi na watu?". Wakiniambia hivi huwa nakaa tu kimya ila moyoni huwa nawajibu "kwa nini mnawaza kuhusu maisha yangu ya mbeleni, si mniache tu nitajua mwenyewe"
Licha ya wao kujua kuwa mada yao ya kunilazimisha nijichanganye na watu siipendi lakini hawachoki kuianzisha wakikaa na mimi, kila siki wananikasirisha na hii mada. Sometimes wanazidi hadi nawajibu vibaya kwa hasira, halafu najishtukia kuwa nimekosea kuwajibu hivyo. Naonekana sina maadili ila ukweli ni kwamba wao ndio wananikasirisha
Hata sasahivi naandika hivi ila wametoka kuniita na kuniambia nikae sebuleni. Nimekaa nao dakika chache tu nikanyanyuka nimerudi zangu chumbani, sijisikii vyema kukaa na watu wengi.
Natamani muda wa chuo ufike niende chuo maana maeneo kama shuleni watu hawaniulizi sana kwa nini najitenga. Muda mwingi hawaongei na mimi na hivyo ndio nilikuwa najisikia amani
Kwani upi ni uamuzi wa busara?
Nifuate furaha yangu, niendelee kukaa peke yangu.. au
Nijichanganye na watu kufurahisha wazazi, wakati mimi moyoni sipendi?
Kuna wazazi wajinga pia Kama wewe ambao hamjitambui na wajinga huzeeka pia , haujui kuwa kuna watoto wanawazidi akili wazazi.Wewe mpuuzi hujui kuwa malezi ya wazazi ndo mwongozo mkuu kwenye maisha ya mtu?
Hapana. Ila kama mzazi kuna namna ungependa mtoto awe vipi as long as anaishi kwako. Sasa wewe una mtoto ambae hajichanganyi na watu hata wa hapo nyumbani, haongei, mara zote kajifungua chumbani hutapata wasiwasi.Ahaaa aaaaa kwahiyo ni sahihi kumpangia mtu namna ya kuishi ? Kisa umemzaa ?
Huna tatizo wewe, tafuta demu ndo utajua hiyo mashine ipo imaraMzee aliniambia kuwa madhara ya punyeto yanatibika kwamba nisiwe na wasiwasi
Hadi sasa erection zangu zipo weak ila nina matumaini ya kupata tiba. Nitajitahidi kutafuta tiba ikishindikana kabisa sioni haja ya kuishi. Na hilo suala la kupungua nguvu za kiume kisa punyeto linaniumiza sana. Nikishindwa kujitibu naweza kuamua nijiue tu kuliko kuishi na msongo wa mawazo. Kwanza siku hizi za mwisho kiukweli sioni hata kama maisha ni mazuri kwangu. Tena watu wakiniongelesha ndio wanazidi kunikera tu
Aaaha mkuu πHapana. Ila kama mzazi kuna namna ungependa mtoto awe vipi as long as anaishi kwako. Sasa wewe una mtoto ambae hajichanganyi na watu hata wa hapo nyumbani, haongei, mara zote kajifungua chumbani hutapata wasiwasi.
Wengine wanakuwa na matatizo ni muhimu kumfatilia ujue tatizo ni nini.
Ukitaka uishi upendavyo hama kwa wazazi kajitegemee
Kuna watoto wapo hivyo kumbe wana matatizo, wengine wanaishia kujiua na hata kuanza tabia za ajabu ajabu kama ushoga na nyingine. Mzazi kufatilia ni lazima, ili ajihakikishie kwamba kuna tatizo au ni tabia tu ya mtoto.Aaaha mkuu π
Utakuwa mpiga nyeto ww sio bureπMimi ni kijana wa kiume miaka 19 nimemaliza form 6 na kuapply chuo nasubiri majibu sasa.
Lakini likizo hii imekuwa chungu kwangu maana wazazi kila siku wananisema tu.
Wananilazimisha nijichanganye na watu halafu binafsi sipendi. Napenda niwe peke yangu na muda mwingi nipo chumbani kwangu
Nakereka sana, wazazi wakirudi toka kazini wakifika tu nyumbani kitu cha kwanza ni kuniita na kunilazimisha kukaa sebuleni na familia. Mara nyingi hata nikikaa sebuleni wananiona nimekaa sina furaha, wanaanza kuniuluza mbona huongei? Mimi sina cha kuwajibu sijui sababu, wao wanalalamika kwa sababu wanadai zamani sikuwa hivi.
Kuna maneno yao wanaongea sometimes yananiumiza, mfano wananiongelea wanasema "Huyu mtoto sijui tumfanyeje, tumetumia kila mbinu tumeshindwa. Hivi maisha yako baadaye utaishije ikiwa hujichanganyi na watu?". Wakiniambia hivi huwa nakaa tu kimya ila moyoni huwa nawajibu "kwa nini mnawaza kuhusu maisha yangu ya mbeleni, si mniache tu nitajua mwenyewe"
Licha ya wao kujua kuwa mada yao ya kunilazimisha nijichanganye na watu siipendi lakini hawachoki kuianzisha wakikaa na mimi, kila siki wananikasirisha na hii mada. Sometimes wanazidi hadi nawajibu vibaya kwa hasira, halafu najishtukia kuwa nimekosea kuwajibu hivyo. Naonekana sina maadili ila ukweli ni kwamba wao ndio wananikasirisha
Hata sasahivi naandika hivi ila wametoka kuniita na kuniambia nikae sebuleni. Nimekaa nao dakika chache tu nikanyanyuka nimerudi zangu chumbani, sijisikii vyema kukaa na watu wengi.
Natamani muda wa chuo ufike niende chuo maana maeneo kama shuleni watu hawaniulizi sana kwa nini najitenga. Muda mwingi hawaongei na mimi na hivyo ndio nilikuwa najisikia amani
Kwani upi ni uamuzi wa busara?
Nifuate furaha yangu, niendelee kukaa peke yangu.. au
Nijichanganye na watu kufurahisha wazazi, wakati mimi moyoni sipendi?
Kulomba ni arts sasa kijana alivyo ubwete ubwete ivo atashusha chupi ya manzi kwlUshawahi Kulomba?
ππVitoto vya buku mbili bhn sasa huon wazaz wanakupenda sana. Wazaz wanajua ukikaa mwenyew huko utakula sana nyeto mwishowe ushindwe kuzalisha fala wewe.