Wazazi wengi hawana Home Curriculum ( Mtaala wa Nyumbani)

Wewe hii shule kwani haipo Tena , ishu watu wengi hawajui mindset za wafanyabiashara wanavyocheza na akili za mteja ili achukue hela zake. Mie kinachonisaidia ni kuwa since standard wani Maisha yangu ni ya dukani naenda shule nikirudi ni kuuza dukani, so huwa najua akili ya mfanya biashara ilivyo, yaani anajua mteja akili ilivyo, mfano watu wengi yaani wengi wanaamini kuwa chenye gharama ndicho kina ubora ,Kuna muda kitu kilikuwa kikiganda dukani nakipandishia Bei yaani hii akili from nowhere sijui Ila ni from universe nashangaa kitu kinanunuliwa na nilikuwa mtt mdogo, pia Kuna muda mchele wa aina moja nagawanya kwa beseni mbili naandika 200/kg na mwingine 250/kg nakuambia wateja Wana concentrate kwa hii ya 250 wananiambia nipunguzie hii nachukua kilo nyingi nabakia nacheka mwenyewe.

Pia nimesoma na nimeona kusoma sio kuwa ni hela Bali Kama mtt anao uwezo na anapenda kujisomea that's the gift, nakumbuka la Tano mwalimu alinifahamu akaniuliza unasomaga twisheni akaniambia kalete your maths exercise nikampelekea.

Hata tulivyoenda nje kusoma Russia na through government scholarship bana Kuna wabongo walijifunza kirusi mwaka mmoja wakaanza kusoma university pamoja na warusi Sasa si Kuna watu wanawafundisha warusi hao hao kuwa hapa ni ivi rector alisema.
So naamini kuwa kuelewa kitu sio lugha bana sema watu tunataka ku take pride kuwa tunasomesha na pia Yale machungu ya kukosa elimu na kunyanyaswa na wasomi , pia kuona wasomi jirani yako wanaongea English so unakuwa na maumivu mno ya kuja kuziba ilo PENGO ama maumivu ayo. Cheki msukuma na kishimba wanavyohangaika wanaponda wasomi na huku nafsini mwako ni maumivu yanawasumbua wanadisi elimu na huku vijana wao wanawasomesha, shigonga akagonga mwamba akataka kusoma udsm ili na yeye awe na Ile sifa kusoma chuo kikongwe nchini chenye wanaosoma hapo wenye uwezo mkubwa.
Sasa bana akaombwa cheti cha foo akaja kumaindi mpaka bungeni kuwa amekataliwa.
Msukuma anaponda wasomi huku akaenda kununua cheo cha usiku kuitwa doctor ya heshima.
Akili zetu ama tulivyo wanadamu ni sawa na Ile hadithi ya sizitaki hizi mbichi. Mwanamke kwanza Malaya baada ya kuwa amekukataa unatafuta validation ya roho yako itulie na unaamini ivyo Mana maumivu ni makali ya kukosa mtt mkali.
Ila ingawa Mwanzoni ulikuwa unamtaka kwa cost zote,
English bana sio dili kubwa mno Kuna muda hata mie nilikuwa ama nikiongea na mtu ana doubt Kama mie ni Mtanzania, chuoni kwa bongo nilikuwa natongoza mademu kwa English na ninawala kweli kweli Mana hawajui kujitetea kwa English wanabakia yes and no mara ofcourse.
 
Kichwa cha habari na maelezo uliyo andika ni vitu viwili tofauti.

Kweli kuna vichaa wengi wanao tembea wamevaa nguo kuliko walio uchi.

umasikini mbaya sana una unavyojidharirisha.
 
Hekima na busara itawale, nyama iuzwe buku na spinach buku ten au sio.....๐Ÿ˜

Mkuu kuwa na hela ni raha unakua na choice nzuri nzuri.
 
Kichwa cha habari na maelezo uliyo andika ni vitu viwili tofauti.

Kweli kuna vichaa wengi wanao tembea wamevaa nguo kuliko walio uchi.

umasikini mbaya sana una unavyojidharirisha.
Peleka Mwanza kuku broiler
 
Hekima na busara itawale, nyama iuzwe buku na spinach buku ten au sio.....๐Ÿ˜

Mkuu kuwa na hela ni raha unakua na choice nzuri nzuri.

Demu ambae Mimi ninamla bure halafu mwingine anamla Kwa hela nani mjanja na nani fala?

Wewe unachanganya kuwa na hela na kua fala ni vitu viwili tofauti.

Kulipa mamilioni EMs ni ufala Sio kuwa na hela .
 
Hizi ni facts ambazo mtanzania wa kawaida hawezi ku regurgitate. Tunaishi kwa kufuata mkumbo
 
Evelyn Salt
 
kichwa cha habari na mada wala havina uhusiano

ni wewe tu na EM zako

hapo kwenye vipaji vya watoto, wazazi ndo wana makosa makubwa, wanawaambia watoto vipaji ni upuuzi wajikite kwenye masomo
 
Demu ambae Mimi ninamla bure halafu mwingine anamla Kwa hela nani mjanja na nani fala?

Wewe unachanganya kuwa na hela na kua fala ni vitu viwili tofauti.

Kulipa mamilioni EMs ni ufala Sio kuwa na hela .
Kwahiyo mtoto akakae kwenye kiti kimoja wakae watatu hadi wanne ndo ujanja huo bro au sio.....

Hebu kila mtu aishi vile anaona sawa kwake. Nilisoma kayumba sikuwahi kukaa kwenye kiti kimoja watu watatu. Kayumba za sasa ni kayumba kweli....mi binafsi hapana
 
kichwa cha habari na mada wala havina uhusiano

ni wewe tu na EM zako

hapo kwenye vipaji vya watoto, wazazi ndo wana makosa makubwa, wanawaambia watoto vipaji ni upuuzi wajikite kwenye masomo
Kama unadhani kichwa cha habari na Mada havina uhusiano Basi nasikitika kukwambia kwamba wewe ni kilaza aisee.


Kichwa cha habari kimetoka kwenye video ya wachokonozi.

Mada imetoka kwenye video hiyo hiyo ya wachokonozi

Halafu wewe unasema havina uhusiano?

Una shida gani inakusumbua kichwani mkuu
 
Ulisoma Kayumba ya kijijini Sio ya mjini.
 
Ulisoma Kayumba ya kijijini Sio ya mjini.
Mjini mzee baba, katikati ya jiji...
Nyanza primary, pamba sec mwanza sec kuna bush hapo,? ๐Ÿ˜น hata daladala tu sijawahi panda kwenda shule, moja mbili hadi class

Shule za hadhi walau hiyo kwa sasa zinaeleweka, kuna shule kama mzumbe, kibaha, msalato etc mtoto atasoma na ni uhakika!

Ila hizi CHAUREMBO shule ya msingi aaaah weee niache kidogo, mpeleke wako akatuwakilishe ๐Ÿ˜‚
 
Mjini mzee baba, katikati ya jiji...
Nyanza primary, pamba sec mwanza sec kuna bush hapo,? ๐Ÿ˜น hata daladala tu sijawahi panda kwenda shule, moja mbili hadi class
Mwanza napajua Sana nilikuwaga natoka Dar kwenda Mwanza kutafuta mademu WA kisukuma Kwa sababu wengi wana nyota hizo shule unazo zisema nazijua hazina sifa hizo.

Kwanza Nyanza primary I think ni English Medium. Kama Sio Nyanza Basi Nyakahoja.

Pamba Secondary na Mwanza Secondary are one of the best schools Tanzania Kwa sababu kwanza Zina mazingira mazuri...

Muogope Allah, Nyanza, Pamba Sec , Mwanza Sec Sio shule mbaya kama ulivyo sema.

Tanzania hii naijua vizuri Sana nimeitembea yote.
 
He we jamaa tafuta hela upeleke watoto shule...hiyo kujifanya una mitaala nyumbani ni kuendelea kuwachanganya hao wanao wa Kayumba,...watachochora hao mpaka utashangaa ..Hiyo campaign yako unajichosha tu hao wanaokusuport wakipata tu pesa za kubadilishia mboga wanahamisha watoto wao mchana kweupeeee
 
Nyanza imekua English medium miaka ya karibuni, karibuni kabisaaaa mie nimesoma ikiwa kiswahili .....nlikua naenda na mfagio na kidumu na mbolea.

Sijasema shule mbaya nimesema shule za kawaida nikimaanisha za kiswahili sio English medium. Ila kwa sasa tulipo hata huko kielimu sio kuzuri teeena kama enzi hizo kwahiyo mi kumpeleka mtoto wangu hapana.....labda nikose uwezo kabisaaaaa yani sina option ila haiwezi kuwa chaguo kwa sasa (Mungu anisaidie nsifike huko) ila kwa sasa vijana wangu watasoma katika mazingira mazuri.

Kwahiyo mzee baba we wanao wapeleke watatuwakilisha
 
Imagine shule inaitwa SHULE YA MSINGI MWANZO MGUMU ....Aaaaah hapana kwa kweli, mwanae akawe balozi naunga mkono hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ