Wazazi wengi hawana Home Curriculum ( Mtaala wa Nyumbani)

Maneno yako kila siku yanaingia lakini yanatoka. 😔
 
Tunakoelekea hata wanaokula nyama tutaanza kuwafokea, unakulaje nyama wakati dagaa na michicha vipo, kula nyama ya elf kumi wakati dagaa ni buku ni upumbavu......

Tutafute hela.
Kwanza nyama inasababisha Gauti na Kolestro..
 
Hata walokole huwa wanalipa fungu la Kumi Kwa furaha Kwa mategemeo kwamba siku ya mwisho watazikuta Mbinguni. Ndicho unacho kifanya wewe
Wewe subiri mambo yamebadilika jiandae kumchongea mwanao mzinga akichagua fani kufuga nyuki hapo naona na shule utamwachisha,maana bure imekunogea
 
Huwa nawahurumia sana watoto wanaoamka saa 10 au 11 alfajiri ili wawahi school bus, dogo hata halali vizuri na ndo kwanza ana miaka chini ya kumi.
Akiondoka hiyo saa 12 asubuhi ni mpaka school bus imrudishe saa 12 jioni.

Hizi shule zizingatie utoto wa watoto, baadhi ya shule ni kama jela.
Kama unaishi mjini DSM swala la watoto kuamka mapema Sana halijalishi mtoto anasoma Kayumba au EM.
 
Sio kweli labda umpleke mwanao shule ya mbali mkuu, ila hawa shule za karibu hata saa mbili tunakutana nao kwenye madaladala.

Na hizo shule za kayumba mtoto anaewahi/kuchelewa kurudi ni wale wakubwa kuanzia daras la 2 mpaka kidato cha nne ila huko EM ni hivi vitoto vidogo kabisa vya madarasa ya awali.
 
Tulijua umewaachia walimu wa kayumba wamalize kila kitu na watoto wako 🤣🤣🤣

ANYWAY...

KURUDISHA MTOTO KAYUMBA NI MOJA LA JAMBO LA KIPUUZI KUWAHI KUFANYIKA NA AKILI YA KIMASIKINI YA MWAFRIKA.
Jibu hoja acha kupuyanga kama kuku kideri
 
Home economics ni muhimu sana. Watoto wakiwa nyumbani wajifunze masuala ya nyumbani, uchumi wa nyumbani na mtaani

Sijawa na watoto wakubwa ila mimi wakifika umri wa shule, wakiwa shuleni wafanye ya shuleni, wakiwa nyumbani wafanye ya nyumbani.

Kwangu hakutakua na holiday package wala ujinga gani, na hata homework za shule ni ujinga, kama ipo basi only zoezi la muda mfupi sana.

Hii ni kanuni zinazotumiwa na matajiri kwa watoto wao, ndio maana hukuti hawa watoto wakimaliza shule ma matokeo ya As wala Bs lakini ndio viongozi ama wakuu wa taasisi binafsi ama za umma. Hata kwa wahindi wa hapa Tanzania.

Watoto wakitoka shule hufundishwa maisha halisi ya mtaani. Hii inawafanya watoto kuanza kupata life skills mapema sana kuliko kukomaa na ma As ambayo yanapatikana kwa kuiba mitihani. (Kuna shule kule Serengeti inaitwa Twibhoki, kila mwaka ilikua inakua ya 10 bora kitaifa, inatoa wanafunzi 5 kati ya 10 bora nchini, walivyofuatiliwa ikakutwa inaiba mitihani, watoto wana majibu yanayofanana darasa zima, ikafungiwa na imepotea kabisa)
Private schools nyingi sio Primary au Secondary huwa wanaiba mitihani ilo linajulikana mnapokutana Uni unashangaa hawa ndio walioppiga A zote
 
Sio kweli labda umpleke mwanao shule ya mbali mkuu, ila hawa shule za karibu hata saa mbili tunakutana nao kwenye madaladala.

Na hizo shule za kayumba mtoto anaewahi/kuchelewa kurudi ni wale wakubwa kuanzia daras la 2 mpaka kidato cha nne ila huko EM ni hivi vitoto vidogo kabisa vya madarasa ya awali.
100% Fact
 
Kama unaishi mjini DSM swala la watoto kuamka mapema Sana halijalishi mtoto anasoma Kayumba au EM.
Dar es salaam hii hii au unazungumzia Dareda ya Manyara maana hata Dareda ni Dar
 
Tunakoelekea hata wanaokula nyama tutaanza kuwafokea, unakulaje nyama wakati dagaa na michicha vipo, kula nyama ya elf kumi wakati dagaa ni buku ni upumbavu......

Tutafute hela.
Nimeipenda hii
Yaani kuna watu wanaamini kwamba wanavyoishi wao ndivyo kila mmoja anastahili kuishi hivyo
Na isitoshe bado wanaamini wana haki ya kutupangia tuishi vile watakavyo
 
Itakuwa hujaelewa hoja apo.....Mfano ww ni muuza mandazi itakuwa ni upumbavu wa hali ya juu kutumia kidogo unachoingiza kukipeleka EM ili mtoto umsomeshe kwa majuto makuu kisa tu anasoma EM.
Iyo hela si uwekeze pengine uishi kwa amani ila kama mzigo unao wa kutosha mpeleke tu
 
You are the true son of your father
 
Nimeipenda hii
Yaani kuna watu wanaamini kwamba wanavyoishi wao ndivyo kila mmoja anastahili kuishi hivyo
Na isitoshe bado wanaamini wana haki ya kutupangia tuishi vile watakavyo
Kuna watanzania hawajui kufikiria ndio maana tunafikiria Kwa niaba yao
 
Huwa nawahurumia sana watoto wanaoamka saa 10 au 11 alfajiri ili wawahi school bus, dogo hata halali vizuri na ndo kwanza ana miaka chini ya kumi.
Akiondoka hiyo saa 12 asubuhi ni mpaka school bus imrudishe saa 12 jioni.

Hizi shule zizingatie utoto wa watoto, baadhi ya shule ni kama jela.
Wameifanya elimu kama vita. Sikuwahi kuona hii kitu miaka ya 1990s na 2000s mwanzoni. Sasa hivi wanakuja na kisingizio cha elimu ni hazina.
 
Back
Top Bottom