Wazazi wengi hawana Home Curriculum ( Mtaala wa Nyumbani)

Imagine shule inaitwa SHULE YA MSINGI MWANZO MGUMU ....Aaaaah hapana kwa kweli, mwanae akawe balozi naunga mkono hoja
Kuna shule inaitwa BUZI LA SOGA 😹
LIKUD awapeleke huko ili asave na awe mjanja zaidi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hata mimi nimesoma kayumba ya enzi zile, ilikuwa Zanaki Primary, lakini kipindi kile elimu ilikuwa inaufadhali hizi shule, tulikuwa tunasoma na wahindi na waraabu wenye hela, fikiria nilikuwa darasa moja na mtoto wa hawa Suchak wenye ukwasa sasa hivi, na pia kulikuwa na walimu wahindi wanatufudisha miaka ile.
Kwa sasa kama najiweza sipeleki mtoto wangu hizi shule, zimekuwa choka mbovu ndio maana huoni mtoto hata mmoja wa kihindi au mwarabu yuko hizi shule. kwanini hujiulizi hilo, na zamani walikuwa wengi, ile Upanga Primary ilikuwa kama shule ya wahindi tupu na ilikuwa st kayumba.......
 

What's been discussed is far away differ from the Heading itself, though it's truly that the school fees paid at EMS is inversely proportional to the education provided at stp....!!
 
Kumbe Unapeleka mtoto shule Kwa ajili ya wahindi na waarabu. I love the way u think
 
Kumbe untafuta hela ili kupeleka mtoto Shule?

Sio kwamba unampeleka shule ili aje apate hela?

Ur money behave differently
 
Kumbe umesoma nyanza primary mie nimesoma kitangiri primary, nyanza imekuwa ni government school Ila wanatumia English, hata sijui serikali sijui inabana nini mbona Wana uwezo wa kubadilisha shule zake zote tutumie English, sijabeza kuwa English sio ya muhimu
 
Hujamuelewa mtoa Mada kamaanisha mtoto pamoja na kwenda shule anatakiwa apate pia na mafunzo ya nyumbani ambayo yanahusisha vitu kama nidhamu uaminifu nakadhalika
 
Kumbe untafuta hela ili kupeleka mtoto Shule?

Sio kwamba unampeleka shule ili aje apate hela?

Ur money behave differently
Ndio kazi ya hela bro...sasa wewe endelea kutojua matumizi ya hela
 

View: https://youtu.be/YZDXR1lZyzs?si=kUn0j6A3J0r3sNzE
 
U worry to much about tomorrow,Tumia pesa ikuzoee
Hii inakufaa wewe ndio una worry about tomorrow ndio maana una jistress kusomesha English Medium me I don't worry
 
Hii inakufaa wewe ndio una worry about tomorrow ndio maana una jistress kusomesha English Medium me I don't worry
Hivi kwa nini umekazania neno kujistress?mimi mwanangu anasoma nina furaha kila asubuhi nikisikia honi getini nashukuru Mungu na kumtukuza hiyo stress unayoiongelea wewe ni ipi?Una worry sana ndio maana upo busy eti kampeni ya kurudisha watoto kayumba huku ukinadi sera yako kusomesha watoto EM ni matumizi mabaya ya pesa,,,haya utueleze hizo pesa tuzifanyie nini tukishazipata?
 
Starehe
 
You are a successfully manipulated woman . You are happy to pay for nothing. Kila mfanyabiashara ana tamani kupata mteja kama wewe
 
Hivi kwa nini umekazania neno kujistress?mimi mwanangu anasoma nina furaha kila asubuhi nikisikia honi getini nashukuru Mungu na kumtukuza hiyo stress unayoiongelea wewe ni ipi?
Hata walokole huwa wanalipa fungu la Kumi Kwa furaha Kwa mategemeo kwamba siku ya mwisho watazikuta Mbinguni. Ndicho unacho kifanya wewe

Una worry sana ndio maana upo busy eti kampeni ya kurudisha watoto kayumba huku ukinadi sera yako kusomesha watoto EM ni matumizi mabaya ya pesa,,,haya utueleze hizo pesa tuzifanyie nini tukishazipata?
 
Hivi kwa nini umekazania neno kujistress?mimi mwanangu anasoma nina furaha kila asubuhi nikisikia honi getini nashukuru Mungu na kumtukuza hiyo stress unayoiongelea wewe ni ipi?Una worry sana ndio maana upo busy

eti kampeni ya kurudisha watoto kayumba huku ukinadi sera yako kusomesha watoto EM ni matumizi mabaya ya pesa,,,haya utueleze hizo pesa tuzifanyie nini tukishazipata?
Sio kampeni ya kurudisha watoto Kayumba ni kampeni ya kufungua Akili za watanzania zilizo jifunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…