Quetzal
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 6,343
- 10,799
Enhe makabila mengine...hapo..kataka.makabila.matatu
Mimi..na bujibuji tutapendana Kweli kweli...wabaYA WaulizaneUjikoooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Enhe makabila mengine...hapo..kataka.makabila.matatu
Mimi..na bujibuji tutapendana Kweli kweli...wabaYA WaulizaneUjikoooo
Habari wadau.... Topic hapo juu inajieleza huwa najiuliza hili swali bila majibu..coz wazazi wengi huishia kusema tuu nimesema usioe mnyakyusa,mhaya au mchaga..bila kutoa ufafanuzi..kwanini..hebu tujadiliane..kama unafahamu chochote kuhusu makatazo Haya Funguka Hapa Tafadhal
100%Huo ni ukweli na wanaopinga humu wanatoka kwenye makabila hayo.
Wachaga wakiolewa wanataka wakuhamiahie kwenye familia yao. Yani eti mimi nikuoe alaf December na mimi nifunge safari kwenda uchagani.... over my deadbody.
Achana na kunipeleka mimi. Hata wew kwenda uchagani sio lazima December nitakupeleka hata March ukawaone wazazi. Ukifuatilia vzr ndoa nyingi za kichaga mara nyingi mwanamke yuko juu ya mwanaume.
Mapovu ruksa
Umeongea ukweli mtupu kabisa , ukioa mchaga lazima ujishushe chini ndiyo ndoa inadumu ila hivi hivi lazima ifeHuo ni ukweli na wanaopinga humu wanatoka kwenye makabila hayo.
Wachaga wakiolewa wanataka wakuhamiahie kwenye familia yao. Yani eti mimi nikuoe alaf December na mimi nifunge safari kwenda uchagani.... over my deadbody.
Achana na kunipeleka mimi. Hata wew kwenda uchagani sio lazima December nitakupeleka hata March ukawaone wazazi. Ukifuatilia vzr ndoa nyingi za kichaga mara nyingi mwanamke yuko juu ya mwanaume.
Mapovu ruksa
Kama uoi au kuolewa na makabila hayo,itabidi usubiri sana,hao ndio cleam of the nation,the most educated,entrepreneurial,the most elites,wamejaa kila sekta,afya,madini,fedha,security,Habari wadau.... Topic hapo juu inajieleza huwa najiuliza hili swali bila majibu..coz wazazi wengi huishia kusema tuu nimesema usioe mnyakyusa,mhaya au mchaga..bila kutoa ufafanuzi..kwanini..hebu tujadiliane..kama unafahamu chochote kuhusu makatazo Haya Funguka Hapa Tafadhal
Huu mwaka nahisi utakuwa wa nyuzi za makabila tu
Wanyakyusa
Wachagga
Wahaya
Wasukuma
Tujiandae
Yajayo yanafurahisha
Sent from my SM-A705F using JamiiForums mobile app
Yaani acha tu nkamu ila hilo la kutuita sie wachawi ndiyo limeniuma daah [emoji3][emoji3]Ahhahaah nilikuwa nakuita hapa ndugu yangu. Jana ilikuwa hatujengi vyoo, leo hili mweeeeh
Mimi sijawahi tamanimkuu kwa Sisi WANYAKYUSA NI WACHAPA KAZI ......KILA KABILA LINATAMANI KUOA WANYAKYUSA
Ila kwa ndugu zangu wachaga .... Wanawake wao ni mabingwa wa kusaka pesa ...hawatak kumtegemea mume .....ila kuna wale wamachame wanauwa waume zao ........
Kwa wale ndugu zangu Wahaya wazee wa Maji mengi[emoji2][emoji2][emoji2] WASOMI TZ nzima wakifuatia wachaga + wanyakyusa .....naskia hawajui.kunyima [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Wewe tayari mnyakyusya acha fiksiMimi ningekuwa na uwezo ningehama kabila niwe Mnyakyusa.
Umesahau ishu ya mapenzi kwao ni pesa nina mifano hai kabisa,Huo ni ukweli na wanaopinga humu wanatoka kwenye makabila hayo.
Wachaga wakiolewa wanataka wakuhamiahie kwenye familia yao. Yani eti mimi nikuoe alaf December na mimi nifunge safari kwenda uchagani.... over my deadbody.
Achana na kunipeleka mimi. Hata wew kwenda uchagani sio lazima December nitakupeleka hata March ukawaone wazazi. Ukifuatilia vzr ndoa nyingi za kichaga mara nyingi mwanamke yuko juu ya mwanaume.
Mapovu ruksa
Hahahaha achana nao nkamu, wakome kutusingizaYaani acha tu nkamu ila hilo la kutuita sie wachawi ndiyo limeniuma daah [emoji3][emoji3]
Sent from my SM-A705F using JamiiForums mobile app
Binafsi nakubaliana na weweHuo ni ukweli na wanaopinga humu wanatoka kwenye makabila hayo.