Wazazi wengi huwakataza watoto wao wasioe Wanyakyusa, Wachaga na Wahaya. Nini Sababu?

Ilitakiwa unyamaze kabla hujaleta Bandiko lako..kutokana na mawazo ya FAMILIA YENU....
Ingekuwa unayoyasema ninkweli...haya makabilia yasinge OA makabila mengine.

Yaaani Sio Lila unaloaambiwa unabebana nalo
lunch time mkuu tukale
 
Habari wadau.... Topic hapo juu inajieleza huwa najiuliza hili swali bila majibu..coz wazazi wengi huishia kusema tuu nimesema usioe mnyakyusa,mhaya au mchaga..bila kutoa ufafanuzi..kwanini..hebu tujadiliane..kama unafahamu chochote kuhusu makatazo Haya Funguka Hapa Tafadhal

Bora hata mchaga unaweza kaa naye ila mnyakyusa hasa wale wa kyela ndiyo balaa tupu ujiandae kuchapiwa, kupewa midawa na ukiishiwa hela anahamia kwa mwingine ,, Yani kwa ujumla ukitaka usipate stress za ndoa oa kabila lako ,, mda ukifika wa kuoa nenda kaoe kijijini kwenu hutojuta
 
Huo ni ukweli na wanaopinga humu wanatoka kwenye makabila hayo.

Wachaga wakiolewa wanataka wakuhamiahie kwenye familia yao. Yani eti mimi nikuoe alaf December na mimi nifunge safari kwenda uchagani.... over my deadbody.

Achana na kunipeleka mimi. Hata wew kwenda uchagani sio lazima December nitakupeleka hata March ukawaone wazazi. Ukifuatilia vzr ndoa nyingi za kichaga mara nyingi mwanamke yuko juu ya mwanaume.

Mapovu ruksa
100%
 
Umeongea ukweli mtupu kabisa , ukioa mchaga lazima ujishushe chini ndiyo ndoa inadumu ila hivi hivi lazima ife

Wanyakyusa hasa wale wa kyela ni Malaya number moja na anaolewa kwako kufata hela tuu hela zikiisha anakimbia na ndiyo maana mbeya wengi wanawake wameachana ba ndoa zao hawakaliki kwenye ndoa
 
Habari wadau.... Topic hapo juu inajieleza huwa najiuliza hili swali bila majibu..coz wazazi wengi huishia kusema tuu nimesema usioe mnyakyusa,mhaya au mchaga..bila kutoa ufafanuzi..kwanini..hebu tujadiliane..kama unafahamu chochote kuhusu makatazo Haya Funguka Hapa Tafadhal
Kama uoi au kuolewa na makabila hayo,itabidi usubiri sana,hao ndio cleam of the nation,the most educated,entrepreneurial,the most elites,wamejaa kila sekta,afya,madini,fedha,security,
Nchi hii ina makabila zaidi ya 120,lakini uchumi unashikwa na makabila yasiofika 10!
Na the top most,ni hao,haya,chaga,nyakyusa,then wanafata,sukuma,wakinga,na wenyeji wa mara,
 
Yaani makabila yangekuwa ndani ya dalasa moja hayo makabila ndio tungeyaita best students. Mzazi wako hakukosea kabisa, ukiwa hauna mipango mjini, hauna akili kichwani na wala hauna msimamo wa kiume achana na hayo makabila, utajikuta umeolewa wewe. Ila kwa watu smart na wanaojiamini wanachagua kujenga future na hizo chata.
 
1. Hayo ni ma dominant tribes na wana tabia ya kutawala kuanzia akili ya mwanaume, mali na kwao ni bora zaidi kuliko sehemu nyingine na hata kama wameolewa watakulazimisha kuwekeza kwai na watoto wataonyeshwa kwa baba mzaa mama ndio kwao

2.Dominant hata wanyama kama simba ,chui na mbwa ni hivyo hivyo na wale wa like hujiona ni zaidi ya mwanaume na mmiliki yeye anachukua kama ni mali yake.

3.Yapo makabila ambayo ni recessive ambayo mkioana mnatengeneza heterozygous
 
mkuu kwa Sisi WANYAKYUSA NI WACHAPA KAZI ......KILA KABILA LINATAMANI KUOA WANYAKYUSA
Ila kwa ndugu zangu wachaga .... Wanawake wao ni mabingwa wa kusaka pesa ...hawatak kumtegemea mume .....ila kuna wale wamachame wanauwa waume zao ........
Kwa wale ndugu zangu Wahaya wazee wa Maji mengi[emoji2][emoji2][emoji2] WASOMI TZ nzima wakifuatia wachaga + wanyakyusa .....naskia hawajui.kunyima [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Mimi sijawahi tamani
 
Huo ni ukweli na wanaopinga humu wanatoka kwenye makabila hayo.

Wachaga wakiolewa wanataka wakuhamiahie kwenye familia yao. Yani eti mimi nikuoe alaf December na mimi nifunge safari kwenda uchagani.... over my deadbody.

Achana na kunipeleka mimi. Hata wew kwenda uchagani sio lazima December nitakupeleka hata March ukawaone wazazi. Ukifuatilia vzr ndoa nyingi za kichaga mara nyingi mwanamke yuko juu ya mwanaume.

Mapovu ruksa
Umesahau ishu ya mapenzi kwao ni pesa nina mifano hai kabisa,
 
Kumekucha pale mtu anapotafuta pa kutua stress zake za January
 
Huo ni ukweli na wanaopinga humu wanatoka kwenye makabila hayo.

Wachaga wakiolewa wanataka wakuhamiahie kwenye familia yao. Yani eti mimi nikuoe alaf December na mimi nifunge safari kwenda uchagani.... over my deadbody.

Achana na kunipeleka mimi. Hata wew kwenda uchagani sio lazima December nitakupeleka hata March ukawaone wazazi. Ukifuatilia vzr ndoa nyingi za kichaga mara nyingi mwanamke yuko juu ya mwanaume.

Mapovu ruksa
Binafsi nakubaliana na wewe
alooo huyo mwanamke wakunipangia maisha,hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,naapa naweza ozea gerezani
 
Back
Top Bottom