Wazazi wengi huwakataza watoto wao wasioe Wanyakyusa, Wachaga na Wahaya. Nini Sababu?

Huo ni ukweli na wanaopinga humu wanatoka kwenye makabila hayo.

Wachaga wakiolewa wanataka wakuhamiahie kwenye familia yao. Yani eti mimi nikuoe alaf December na mimi nifunge safari kwenda uchagani.... over my deadbody.

Achana na kunipeleka mimi. Hata wew kwenda uchagani sio lazima December nitakupeleka hata March ukawaone wazazi. Ukifuatilia vzr ndoa nyingi za kichaga mara nyingi mwanamke yuko juu ya mwanaume.

Mapovu ruksa

Umejitahidi.

Kumbuka mafuta na maji haviungani
 
Habari wadau.... Topic hapo juu inajieleza huwa najiuliza hili swali bila majibu..coz wazazi wengi huishia kusema tuu nimesema usioe mnyakyusa,mhaya au mchaga..bila kutoa ufafanuzi..kwanini..hebu tujadiliane..kama unafahamu chochote kuhusu makatazo Haya Funguka Hapa Tafadhal
Ni kwa sababu ndiyo makabila makubwa Tz na hakuna asiye yajua.
Ila kuna vikabila ambavyo havijulikani vina tabia za ajabu kuliko ata hayo makabila makubwa. So mimi naona kabila halina tija kwenye kujenga familia cha msingi mna tengeneza bond nzuri basi.
 
Wahaya, Wachagga, Wanyakyusa wanalima na kula ndizi. Ndizi ni tunda lenye maajabu yake, na moja ya maajabu ni kwamba huongeza uwezo wa kufikiri na uimara wa afya.

Makabila haya wengi ni wasomi na kujitambua Sana yaani akili nyingi.

Sasa basi, turudi kwenye mada ya kwamba Watanzania wengi wanapenda kuoa mwanamke wa aina gani?

Wanaume wengi na wasiowaelewa wanataka wapate mwanamke wa kuitikia 'ndiyo" kwa kila Jambo na pia huyo mwanamke aisiwe na rasilimali yeyote.

Sasa kwa muktadha huu, mtu anayetaka mwanamke atakwepa kuoa makabila ya aina hiyo kwa sababu hayo makabila ni nadra sana kumpata mwanamke kishoia aisiyejitambua.

Halafu, siku zote mchawi hawezi kumkubali MCHA MUNGU. Nimeandika kwa herufi kubwa ili kutia msisitizo.

Wahaya, Wachagga na Wanyakyusa ni wacha MUNGU sana. Sasa Kama mtu ni mchawi yaani ni mtu wa Mambo ya Giza nene, hawezi kukubali mwanae aoe mcha Mungu kwa sababu ataleta ushindani wa kiroho nyumbani.

Hilo la kwamba Wachagga huenda kwao au Wamachame wanaua sidhani kama ni za msingi sana, maana mtu akitaka kuua anaua tu haijalishi kabila. Lakini pia, kama ingekuwa Wamachame wanaua, basi kanda ya Kaskazini ingeongoza kwa mauaji.

Kwa sasa kanda inayoongoza kwa mauaji ni Kanda ya Ziwa ambapo wengi huko ni Wasukuma na siyo Wachagga.

Hilo la Wachagga kwenda kwao siyo tatizo bali ni Jambo zuri la kuiga pia.

Na pia Kama mkeo anaenda kwao uchaggani, basi na wewe tafuta siku uende kwenu.
 
Kwa hiyo tuoe makabila gani na kwasababu zipi pia ?
 
Bora hata mchaga unaweza kaa naye ila mnyakyusa hasa wale wa kyela ndiyo balaa tupu ujiandae kuchapiwa, kupewa midawa na ukiishiwa hela anahamia kwa mwingine ,, Yani kwa ujumla ukitaka usipate stress za ndoa oa kabila lako ,, mda ukifika wa kuoa nenda kaoe kijijini kwenu hutojuta
Uongo uliokubuhu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wadau.... Topic hapo juu inajieleza huwa najiuliza hili swali bila majibu..coz wazazi wengi huishia kusema tuu nimesema usioe mnyakyusa,mhaya au mchaga..bila kutoa ufafanuzi..kwanini..hebu tujadiliane..kama unafahamu chochote kuhusu makatazo Haya Funguka Hapa Tafadhal
Ndoa zote Mwanaume huishii kuoa Binti. Unaoa Binti na familia yake yote.

Mwanaume ukipungua upeo kumdhibiti mkeo na familia yake, hata uoe malaika ama bikra utalia tu!

Nionavyo ndoa kama package ni mchezo wa probability na risk-reward!
 
Wahaya, Wachagga, Wanyakyusa wanalima na kula ndizi. Ndizi ni tunda lenye maajabu yake, na moja ya maajabu ni kwamba huongeza uwezo wa kufikiri na uimara wa afya.

Makabila haya wengi ni wasomi na kujitambua Sana yaani akili nyingi.

Sasa basi, turudi kwenye mada ya kwamba Watanzania wengi wanapenda kuoa mwanamke wa aina gani?

Wanaume wengi na wasiowaelewa wanataka wapate mwanamke wa kuitikia 'ndiyo" kwa kila Jambo na pia huyo mwanamke aisiwe na rasilimali yeyote.

Sasa kwa muktadha huu, mtu anayetaka mwanamke atakwepa kuoa makabila ya aina hiyo kwa sababu hayo makabila ni nadra sana kumpata mwanamke kishoia aisiyejitambua.

Halafu, siku zote mchawi hawezi kumkubali MCHA MUNGU. Nimeandika kwa herufi kubwa ili kutia msisitizo.

Wahaya, Wachagga na Wanyakyusa ni wacha MUNGU sana. Sasa Kama mtu ni mchawi yaani ni mtu wa Mambo ya Giza nene, hawezi kukubali mwanae aoe mcha Mungu kwa sababu ataleta ushindani wa kiroho nyumbani.

Hilo la kwamba Wachagga huenda kwao au Wamachame wanaua sidhani kama ni za msingi sana, maana mtu akitaka kuua anaua tu haijalishi kabila. Lakini pia, kama ingekuwa Wamachame wanaua, basi kanda ya Kaskazini ingeongoza kwa mauaji.

Kwa sasa kanda inayoongoza kwa mauaji ni Kanda ya Ziwa ambapo wengi huko ni Wasukuma na siyo Wachagga.

Hilo la Wachagga kwenda kwao siyo tatizo bali ni Jambo zuri la kuiga pia.

Na pia Kama mkeo anaenda kwao uchaggani, basi na wewe tafuta siku uende kwenu.
Km kila mmoja ataenda kwako kwa muda anaotaka kuna ndoa hapo?
Suala la ucha Mungu kwa maana ya dini kubwa mbili za kiislam na kikristo/kikristu ni mapokeo yaliokuja na yanaendelea kuongezeka kutokana na matengenezo ya kiimani yanavyo endelea.
Tabia za makabila yetu zinaandamana sana na malezi na mila na desturi na hivi vina uhusiano na mazingira yaliyo mzunguka mhusika tangu kutungwa kwa mimba mpaka kufikia umri wa ndoa.
Mila nyingi za kitanzania ziliaminisha au kufundisha kuwa mwanamke" hana dini wala kabila" si kwa sababu mbaya ila inawezekana ikawa mbaya kwa "nyakati hizi"
Nguvu ya wazaz na ndugu wa mwanamke ina nafasi kubwa kwenye kuboresha au kuharibu ndoa yako "kimya kimya"
Kuliko ile nguvu ya wazaz na ndugu wa kiume ambapo dalili za ndoa kutofika mbali huonekana mapema sana kwa kua mambo mengi hayajifichi au hufanyika kwa uwazi zaidi hivyo km ndoa inakufa inakufa kwa " mshindo mkuu "kwa kuwa dalili huonekana mapeema.
Sasa jiulize vita ni vita ila je vita vya chini chini na vya hadharani vipi vina umiza kichwa?
Anaweza akawa sio mnyaki au mchaga kwa kuzaliwa ila familia yake ikawa imeolowea bukoba au moshi au mbeya kwa miaka mia au sabini au hamsini je huyu unadhani atakuwaje?
Je mfumonwa utatuzi wa migogoro kwenye makabila yetu upoje...namaanisha " oganizesheni na menejimenti" hasa kwenye mambo ya kijamii na kiuchumi?
Mfumo wq maisha baina ya wewe muoaji na hao waolewaji...tafsiri ya maisha,ndoa ,furaha,upendo...histori ya familia yenu na makabila uliyo yataja je kuna ndoa zenye tabu ambazo zinatoka kwenye makabila yenu na yao?
Nafasi ya wazaz kwenye kulinda mawazo mali elimu na mifumo ya kiuchumi walio iandaa kwa ajili ya hayo makablia na hilo kabila lenu k. Haita match ndoa itatumia nguvu kuitunza.
 
Habari wadau.... Topic hapo juu inajieleza huwa najiuliza hili swali bila majibu..coz wazazi wengi huishia kusema tuu nimesema usioe mnyakyusa,mhaya au mchaga..bila kutoa ufafanuzi..kwanini..hebu tujadiliane..kama unafahamu chochote kuhusu makatazo Haya Funguka Hapa Tafadhal
asiyesikia la mkuu huvunjika guu
 
Yaani makabila yangekuwa ndani ya dalasa moja hayo makabila ndio tungeyaita best students. Mzazi wako hakukosea kabisa, ukiwa hauna mipango mjini, hauna akili kichwani na wala hauna msimamo wa kiume achana na hayo makabila, utajikuta umeolewa wewe. Ila kwa watu smart na wanaojiamini wanachagua kujenga future na hizo chata.

Hayo makabila ni kwa wanaume heavy weight
Ukiwa mwepesi umeenda na maji
Nawasilisha [emoji4]
 
Mimi mnyakyusa mpango wangu ni kuoa mchaga.

Sasa fikiria baba alinikataza kuoa mchaga, lakini kuna makabila mengineyo baba zao wamewakataza kuoa au kuolewa na mnyakyusa, sasa kila mtu afanye maamuzi yake.
 
Huo ni ukweli na wanaopinga humu wanatoka kwenye makabila hayo.

Wachaga wakiolewa wanataka wakuhamiahie kwenye familia yao. Yani eti mimi nikuoe alaf December na mimi nifunge safari kwenda uchagani.... over my deadbody.

Achana na kunipeleka mimi. Hata wew kwenda uchagani sio lazima December nitakupeleka hata March ukawaone wazazi. Ukifuatilia vzr ndoa nyingi za kichaga mara nyingi mwanamke yuko juu ya mwanaume.

Mapovu ruksa
Wivuuuuu ,watu wanapigana vikumbo kuja kuoa ma genius UCHAGANI
 
Oa mhehe
Ukishindwa msukuma
Au hata mmasai.

Hivi ndivyo maoni ya wengi ambao nimewahi kushauriwa nao yalivyokuwa na sababu iliyowapelekea wao kusema hivyo walidai ni kuwa wanaume wengi hususan wakiTanzania wanahitaji zaidi wanawake wa namna hiyo.
 
Wahehe na wamasai mbona wanasema ni wajeuri sana apart from wasukuma
 
Back
Top Bottom