Hongera kwa kazi nzuri! Watoto wanayaokota na kuyatumia matusi kutoka mitaani, nyumbani hawawezi kuwatukania Mama zao.Hakuna Kitu ambacho GENTAMYCINE nachukia kama Watoto wa Shule ( Watoto zetu ) kuwa na tabia za Matusi Matusi tena Hadharani ambako Watu wazima tupo au tunapita...
Nilikuwa sobber kabisa.Wakati unampiga hiyo Mbata yako zile Bia za Chimboni Kwetu kwa Sinde Mbezi Beach Tangi Bovu tayari zilikuwa Kichwani au?
Vijana wa Arusha bana. Huwa mnawaovarrate vibaka wenu bila sababu za msingi. Mtu nimezaliwa na kukulia Musoma, tunawindana na sime na mishale, alafu eti nikutane na bwanamdogo yuko na bisibisi aniletee habari nyeusi?Siku watakuchoma spoku/spoke za mapaja ndio utajuta.
Ukija Arusha fata mambo yako maana watoto hao wanatembea na pisto (pistol), bisibisi (screw driver) na spoke (spoku) hawakawii kukutoa upepo (kukutoboa tumbo).
Ubabe wangu huu unaishia Dar es Salaam tu Mkuu. Arusha naoajua, nimeishi Kaloleni na Muanzini ila ndiyo Mkoa ninaouogopa mno.Siku watakuchoma spoku/spoke za mapaja ndio utajuta.
Ukija Arusha fata mambo yako maana watoto hao wanatembea na pisto na bisibisi (screw driver) na spoke (spoku) hawakawii kukutoa upepo (kukutoboa tumbo).
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Safi sana GENTAMYCINE, kuna dogo nilimchaka mbata za kutosha Mwenge stand
Ila wamezidi hawa watoto kwa matusi sio uongo, kuna siku mtaani tulitanguzana mie na jirani ni dada mtu mzima kdg, sasa mbele walikua wanafunzi wa kiume wa sec, sijui walikua wanaongelea nn, maraa ghaflaa matusi ya nguoni kwa jinsia ya kike yalianza kusikika,Madogo wapo kwenye ile stage iliobatizwa majina mengi kama ujuha/puberty/Adolescence/Balehe/Foolish age ambapo wakimaliza 4m4 ndo hao wakijiunga humu JF ni full matusi
Siku zingine ukiwaona nipigie Simu ili niwatimbie kwani Mimi GENTAMYCINE ndiyo Bingwa ( Mngwena ) wa Kurekebisha tabia mbaya, sugu na korofi za Watoto ( hasa Wanafunzi wa Secondary Schools ) hapa Mkoa wa Dar es Salaam.Ila wamezidi hawa watoto kwa matusi sio uongo, kuna siku mtaani tulitanguzana mie na jirani ni dada mtu mzima kdg, sasa mbele walikua wanafunzi wa kiume wa sec, sijui walikua wanaongelea nn, maraa ghaflaa matusi ya nguoni kwa jinsia ya kike yalianza kusikika,
Tulijivunga hivyo hivyo had tulivyowapitaaa, sio kwa matusi Yale afu wako wakavuu wengine wanasapotia. Wanaboa mnoo
Hawana maadili hata kidogo hasa hawa wa kiume.Siku zingine ukiwaona nipigie Simu ili niwatimbie kwani Mimi GENTAMYCINE ndiyo Bingwa ( Mngwena ) wa Kurekebisha tabia mbaya, sugu na korofi za Watoto ( hasa Wanafunzi wa Secondary Schools ) hapa Mkoa wa Dar es Salaam.
Unaweza kuwa na mapanga na bunduki na ukakalishwa tu mkuuVijana wa Arusha bana. Huwa mnawaovarrate vibaka wenu bila sababu za msingi. Mtu nimezaliwa na kukulia Musoma, tunawindana na sime na mishale, alafu eti nikutane na bwanamdogo yuko na bisibisi aniletee habari nyeusi?
Namfua vizuri kabisa na hiyo bisibisi yake, wala hanigusi nayo!
Ni kweli kabisa Mkuu. Shikamooni wana Arusha.Unaweza kuwa na mapanga na bunduki na ukakalishwa tu mkuu
Huyo jamaa anabisha tu ila asifikiri kuwa dogo atatoa silaha amuonyeshe kuwa anaenda kumchoma. Atashangaa tu chuma kimepenya.Ni kweli kabisa Mkuu. Shikamooni wana Arusha.
Asante kwa huu Ushauri wako mzuri ila kabla sijampiga Kibao ( Keleb ) nilipima Afya yake kwa Macho ( Kumpimia ) na Kugundua alikuwa Fiti hivyo nikamtia Adabu.Ni sawa lakini si sawa, mtoto humjui umeamua kumpiga keleb cju kofi, what if angekata moto miguuni kwako?, ile zawadi yako angeenda kupokea nani?
Watu wanatembea na vifo vyao wakitafuta sababu tu wasepe. Next time kuwa makini bro.
Inamaana Genta huna Gari mjini hapa unatembea kwa miguu tu? [emoji1][emoji1][emoji1]Hakuna Kitu ambacho GENTAMYCINE nachukia kama Watoto wa Shule ( Watoto zetu ) kuwa na tabia za Matusi Matusi tena Hadharani ambako Watu wazima tupo au tunapita...