Wazazi wenye Watoto wa Secondary wa Shule za Dar Kagueni Mashavu ya Watoto wenu kwani kuna Mmoja nimemuadabisha Kimara Stendi Juu Darajani leo

Mkuu acha wafu wazike wafu wao!! Yanini kupiga mtoto wa mtu!

Akipata shida mzazi na sirikali wanaungana kukuchangamsha.
 
Mesoma nkakumbuka gazeti la sani ...mambo ya kifimbocheza na bakora zake
 
Sisi walimu mwisho wetu ni kufundisha what is a Physics na kumkumbusha asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu....
 
Hakuna Kitu ambacho GENTAMYCINE nachukia kama Watoto wa Shule ( Watoto zetu ) kuwa na tabia za Matusi Matusi tena Hadharani ambako Watu wazima tupo au tunapita...
kupiga sio kufundisha,hiyo approach ni mbaya sana, hivi hebu fikiri, vipi kama kwa kipigo hicho angekufa, wewe muda huu ungekuwa wapi?
 
Niliwahi kuona watoto wananidhamu ya ovyo, anamjibu mzee mkubwa.

"Ndio maana una kipara kama, mboo"

Ukiona familia mtoto anajua Singeli, anajua kuongea matusi, basi jua hiyo familia imeshapoteza kwa huyo mtoto na bahati njema imepotea.

Sijawahi kuona mtu yoyote timamu na anajenga familia bora au aliyefanikiwa, anatukana ovyo ovyo au anaongea matusi bila sababu
 
Mkiwakuta wanatukana muwapige ndio ila pia mkiwakuta wananyanyaswa na makondakta kwa kunyimwa usafiri wa kurudi majumbani muwasaidie maana kwa kukaa sana mtaani bila kurudi nyumbani ndio eneo wanalojifunza matusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…