Wazee hizi MDA na LGA ndio vitu gani haswa kwenye maswala ya utumishi?

Wazee hizi MDA na LGA ndio vitu gani haswa kwenye maswala ya utumishi?

Trh 3.8.24 wazee wa MDAs na LGAs wamerudi tena
 
M-inistries; Afya, Elimu, Nishati etc
D-epartments; MSD, MNH, NIMR, etc
A-gency, TARI, eGA etc
Ana hoja mkuu labda hajaiweka sawa, ni kweli unachokisema ila mara nyingi hizo Idara na Mamlaka Serikali mara nyingi huwaga zinasimama zenyewe kama zenyewe ingawa zinapitia utumishi lakini tangazo lake linajitegemea, utakuta kama ni la MSD ni MSD tu, sio jumuishi kama hivi na iadara zingine.

Ila kwenye tangazo hapo kazi zote ni mwendo wa TGS tu, someni vizuri
 
Wakuu msaada wenu.

Afisa utamaduni msaidizi daraja la pili (assistant cultural officer 2) ni MDA au LGA?
 
Back
Top Bottom