Tetesi: Wazee kumshauri Tundu Antipas Lissu kupumzika au kuacha siasa kabisa

Hata mie nimesikia mkuu wazee kutoka mahala zanzibar wapo na mpango wa kukutana na kiongozi mkubwa kumshauri asitie nia ya kugombea urais , sasa sijui itakuwaje
 
Baada ya kuepuka kifo, angeacha siasa kabisa, awaachie wenyewe. Taaluma yake inamtosha kuishi kwa raha.
wacha tusubiri wazee watamnusuru na siasa?

na ushauri mpya umempa atumie taaluma yake ya sheria kuendesha maisha yake itapendeza zaidi πŸ’
 
Mimi mwenyewe naunga mkono aachane na siasa za CHADEMA aje CCM amalizie uzee wake vizuri
Kukubali kujiunga na CCM itakuwa ni sawasawa na: kijijini penu mkawa na jambazi linalotisha (CCM), linatisha na kuua watu hovyo. Halafu baadaye ushauriwe na watu kuwa usipambane na hilo jambazi badala yake uungane nalo ndiyo utakuwa salama, bila ya kujua jambazi huwa hana rafiki. Hata wote mkaamua kuungana nalo, lazima litamtafuta.miongoni mwenu wa kumfanyia ujambazi.
 
atakua ametumia ile kanuni rahisi sana ya mapambano ya,

if you can't fight them, join them πŸ’
 
wacha tusubiri tuone mwishowe πŸ’
Ipo clip jf insta huko anatolea ufafanuzi mchango uliochangwa....anasema kuna ubaya gani yeye kuchangiwa pesa ya gari na wana CCM πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£ kwishaa khabareee yakeeee
 
"kujikarabati ili kua madhubuti huko mbeleni....", wewe umejuaje kwani una uhusiano naye, acha hizo bana.
 
Kajipange upya! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mustakabali wa siasa, Nia ya Kugombea urais haiko mikononi mwa hao WAZEE WAPUMBAVU/WAJINGA.πŸ€”πŸ€”

Imo mikononi mwa an individual expected candidate/aspirant and particular polital party CHADEMA.

I have seen this post is full of imagination.
Have you ever asked those senior citizens WAZEE to tell SAAπŸ’― to sease selling Tanzanian Mainland natural resources??

Have you ever asked the WAZEE to advise Saa πŸ’― to stop 2025 not to contest anymore??

All in all you have posted very stupidity stuffs.

Saa πŸ’― hatoshi, is not deserving to become president.

Anaweza mipasho sana refer story ya CHURA KIZIWI 🐸🐸
 
Wazee wa CCM wakamshauri Lissu watakutana naye wapi?
 
UKIWAONA na hii speed ya kupost utumbo kila mara hapa JF huwa hawakawiii kutoweka, tuna mifano mingi ya jinsi yake, muache apaparike tu mwisho atatulia
library ya taarifa, uchambuzi, maelezo tetesi, habari za uhakika n.k sio rahisi kubabaika na mihemko ya wenye ghadhabu πŸ’

daima ni kusukuma tu kila linalojiri au linalokusudia kujiri bila mbambamba ya mtu yeyote,

hakuna uchoyo, kusita wala kuringa kushare upendo kwa familia pana sana ya JF tena kwa wakati bila kuchelewa ili kuongeza ufahamu, uelewa na ujuzi wa masuala mbalimbali kisiasa, kijamii, kiuchumi, kitaifa na kimataifa...

kwani kuna ubaya ubwela wowote ndrugo nzango ?πŸ’
 
Kajipange upya! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
na usiridi na mihemko tena, sawa?πŸ’

huna mawazo mapya wala fikra mbadala dhidi ya hoja mezani, unakuja kumanga manga hapa bila point,alaaa...

na usirudie tena sawa?πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…