Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Sijamuelewa kabisa mtu huyu.Mkataba wa bandari waaibua Wazee wa Baraza la Ushauri.
Mwambie samia, mtaje, acha kulemba lugha, sema mkataba huu ni uuzaji wa tanganyika urekebishwe au futwe kabisa, Acha kulemba lughaMkataba wa bandari waaibua Wazee wa Baraza la Ushauri.
.... kwa wajombaHatukupigania uhuru kisha kutangaza azimio la arusha kisha tukaweka misingi ya kujitegemea ndani ya katiba halafu miaka 60 baadae Samia na wenzie waje wagawane mali zetu kwa wageni kiubwete, kisha watwambie eti tumeshindwa kujiongoza na kujitegemea bandarini.
Tunataka rasilimali zetu zitumiwe vizuri kwa ajili yetu ni vizazi vijavyo, siyo kugawagawa tu!
.... kwa wajomba
Na kuna mpuuzi yule "magna ignoramus" alikebehi kwamba ukanda wote wa mwambao hadi pwani ya msumbiji tokea middle east no mali ya Wajomba hao!
Nitasimulia wajukuu namna awamu ya sita ilivyotuuza utumwani Dubei tena bure.
Kwa kukubali kwenda utumwani Dubei yeye na vizazi vyake siyo?Watakulaumu kwa kuto kufanya lolote
Hawa wazee kuna kitu hawajui. Wanufaika wa uzembe uliopo Bandarini hawataki paboreshwe kwani watakosa kupiga pesa.Mkataba wa bandari waaibua Wazee wa Baraza la Ushauri.
Hawa wazee tunawaheshimu lakini wamueleze samia na timu yake wasikilize wananchi na si kulazimisha. Otherwise watu wataendelea kupingana na huo mkataba ambao umekaa kikandamizajiMkataba wa bandari waaibua Wazee wa Baraza la Ushauri.
Hiyo nne hebu weka wazi wameuza kiasi gani..yule kijana ni mpuuzi kwelikweli.
..kwanza hata yeye wazazi wake ni asili yao sio pwani.
..pili muarabu aliuza maeneo aliyokuwa akiyamiliki kwa wajerumani.
..tatu nchi inapokuwa huru eneo lake linakuwa mali ya wazawa wa nchi hiyo.
..nne, hata tukikubaliana na mtizamo wake, kwamba bandari ni mali ya watu wa Pwani, basi Wazanzibari hawastahili kuuza mali za Watanganyika.
..mwisho, bandari za maziwani na nchi kavu zilizoko bara nazo zimeuzwa. Kijana mjinga hakuliona hilo?
acha upuuzi hata kama hawafai ndio uitoe bandari milele.Hawa wazee kuna kitu hawajui. Wanufaika wa uzembe uliopo Bandarini hawataki paboreshwe kwani watakosa kupiga pesa.
Dp WORLD hawaitaki kabisa kwa kuwa itaboresha systems na viroba vya noti wanavyoondoka navyo kila siku hawatavipata tena.
Lissu, Mbowe, Tibaijuka, pengo, Kitima na Slaa ni mawakala wa kanisa wanaonufaika na ufisadi wa bandarini.
Kwa hiyo wazee wangu hiyo ndo habari niliyotaka nikupeni. Mbarikiwe.
Kwa kukubali kwenda utumwani Dubei yeye na vizazi vyake siyo?
Hiyo nne hebu weka wazi wameuza kiasi gani
Wewe kijana umekula maharage ya wapi? Wapi umeona kuwa mkataba utakuw wa milele? Epuka uzwazwa wa CHADEMA na akina Nshalla na Mwabukusi.acha upuuzi hata kama hawafai ndio uitoe bandari milele.
Je inamaana hakitazilwa kizazi chenye akili katika nchi hii??
Kama sisi tuliopo wote ni wajinga?